Nilivyooa Kimasihara

Acha tu ndugu yangu. Alivoingia JPM tulinyoka aisee. Bila huyu mwanamke ningekuwa sina hata pagale. Kuoa sometime ni baraka especially uoe mwenye akili.
 
Asante kwa hadithi tamu, sasa tunasubiria part 2 ambapo. Yule boyfriend wake anaanza kumtafuta na kutaka game na wewe michepuko ya Bar imeanza kukumiss.
 
Asante kwa hadithi tamu, sasa tunasubiria part 2 ambapo. Yule boyfriend wake anaanza kumtafuta na kutaka game na wewe michepuko ya Bar imeanza kukumiss.
Toka nioe nimeshachepuka mara moja napo nilikuwa mbali nae, hit and run. Ila sijawahi hata fikiria kuwa na mchepuko. Huyo jamaa ake alizamia Malaysia huko na kuoa huko huko. Niko makini sana kumprotect my wife, kwa heri au kwa shari. Hata angerudi asingeweza fanya upuuzi. Najua nachosema. I love my wife so dearly.
 
hii itatufanya turudi mbalizi labda tutapata sampuli kama za mwana kungineko tutakunywa azuma tuchanganyikiwe
Achana na Mbususu za humu JF, wikiend ndo hii tukutane tukagonge 🍸 lakini sio kununua Mbususu kwa buku 3, matibabu 30K😂😂😂
 
Sawa na sisi tutaongeza viungo kwenye chai, haiwezekani msome maisha yetu ya kwenu mfungie kwenye kabati
Chai zinajulikana mbona, halafu..mbona maisha mengine hata nyie mnafungia kwenye kabati tu🤣🤣🤣🤣
 
Mimi chai zangu ni ngumu kuzitambua
😂Na wewe leta zingine fungia kabatinj
Tatizo sipendi kuandika chai, napenda uhalisia...nikileta kitu lazima kiwe real 💯. Nyie leteni chai ila zisiwe za moto sana🤣
 
Kama movie ya The proposal mkuu..humu yupo Ryn rynols na Sandra bullock well done kwenye tafsiri.👌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…