guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,268
- 2,330
- Thread starter
- #101
Acha tu ndugu yangu. Alivoingia JPM tulinyoka aisee. Bila huyu mwanamke ningekuwa sina hata pagale. Kuoa sometime ni baraka especially uoe mwenye akili.Enzi za JK vijana pesa walikua hawajui waweke wapi aisee.
Ulikula sana bata kijana, hujibana ujenge wala ujinga wa namna hiyo.
Hamna pisi ambayo ingechomoa kwa namna ulivyokua unatoa vibunda ni HAKUNA.
Hiyo kazi ilikua ni ndogo sana ila malipo uliyokua tayari kuyatoa ni makubwa.