Ukiwa na pesa kila kitu kinakuwa cha kawaida saana yaani ule uoga haupo sio kama mtu hana kitu hadi mtendaji wa kata anaogopwa pesa inaleta confidence inakupa ulinzi hata wanasiasa wanakupa heshimaAlikuwa anawadharau sana wanasiasa
Marais ndio wanakuwa kama wageni ikulu, halafu yeye ndio mwenyeji.inaonekana jamaa alikuwa sio mtu wa protocal yeye kila sehemu anaona masihara na pia mwili wake ulikuwa unamsaliti
mauti ndio mpango mzima. Vinginevyo hawa watu wa hivi wangetusumbua sana
Mamboinaonekana jamaa alikuwa sio mtu wa protocal yeye kila sehemu anaona masihara na pia mwili wake ulikuwa unamsaliti
Sasa hii ni ya kawaida Sana, hujaona alivyomkumbatia Rais wetu??
😀Marais ndio wanakuwa kama wageni ikulu, halafu yeye ndio mwenyeji.