Nilivyoona hii picha nikajisemea tu huyu jamaa ni zaidi ya "Businessman"

Kwa haraka haraka unaona kabisa marais ndo wanaomba favor Kwa Jamaa, kama ambavyo Samuya alivyokuwa anaomba favor Kwa Jamaa kwenye Ikulu yetu
 
Ukiwa unazo siri zao kubwa za hatima ya uraisi wao unaweza kufanya chochote mbele yao.
Na ndio inavyoonyesha,lakini pamoja na hayo hekima inakutaka tu mbele ya public uheshimu kiti cha raisi

Ila hata wasaidizi wa raisi nao ni hovyo,wao wangepaswa kumwambia huyo mwamba kaa vizur,au hawakujua kama jamaa atarusha kwenye mitindao,kitu ambacho ni common siku hizi
 
Labda aliwaambia tumbu linamzuiakukaa vema.
Au alikuwa n bawasiri kubwa...
 
Sio pesa tuu we niambie tajiri yeyote anaejiachia hivyo, mixer Ruto kumfata airport na kuwa dereva wake
Hata Billgate alivokuja hakujiachia ivo
Kama ni pesa vipi walivomfanya Mo
Inasemekana "Big chiva ni masta wa kuiba chaguzi" ndio maana anaogopwa na wanasiasa wanaomhitaji
 
🔥
 
IMG-20261005-WA0008.jpg

Hapa kaingia na pensi Ikulu 😃
 
Back
Top Bottom