Nilivyoona hii picha nikajisemea tu huyu jamaa ni zaidi ya "Businessman"

Nilivyoona hii picha nikajisemea tu huyu jamaa ni zaidi ya "Businessman"

Aliwakamata kweli kweli. Kuna mmoja alikurupushwa asubuhi na mapema amejifunika kanga! akapigwa picha za ukumbusho. Mwingine alikubali kuvunja taratibu za kiusalama na cheo chake, akadiriki kumuendesha mpaka eneo alipopaki chopa yake!

Huu ni ushawishi wa kipekee.
Inaonesha mwanasheria wako anajua sana vifungu😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom