Nilivyoona hii picha nikajisemea tu huyu jamaa ni zaidi ya "Businessman"

Alikuwa anajua kukaa kihasarahasara kwenye makochi ya nyumba nyeupe za nchi alizokuwa akitembelea mpaka unajiuliza rais ni mjomba wake au shangazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…