Nilivyoona hii picha nikajisemea tu huyu jamaa ni zaidi ya "Businessman"

Inawezekana mwenzenu alikuwa na tumbo kubwa mpaka hawezi kukaa vizuri, nyie mnaona anajidai

Like tumbo unaliona la kawaida lile? πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani Wangapi Wanamatumbo,,Na Tunawaona Wakikutana Na Wakuu Nchi Hawajidai Kiasi Hicho..??
Nadhani Na Naamini Pia,Ukiachana Na Tumbo Kutokuwa La Kawaida Hata Mr Champion,,The Big Wicky Chavo Hakuwa Wa Kawaida Kwenye Nyanja Zingine Za Madili Makubwa Na Wakuu Nchi, Kama Tumbo Lake...
​
 
Hebu waweke hapa tuwalinganishe matumbo yao πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alikua anakaa hivyo kila sehemu.

Pengine unene wake ulikua unamzuia kukaa kama binadamu tunavyotakiwa kukaa.
Jitu zembe tu hilo. Kwa utajiri wake he could have access to medical facilities anywhere on the planet. Alishindwa nini ku-maintain healthy body? Inatoa picha ni utajiri wa kitapelitapeli sio wa akili!
 
Mwingine akajilegeza ashikwe kiuno akiwa kwenye eda na kumbambia bonge huku akivuta hisia za joto la minyamanyama, mambo yao ya faragha wakaamua kutuwekea hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…