Waziriidagaa
New Member
- May 21, 2023
- 2
- 1
Biashara inalipa endapo unapeleka mkoani .Vipi biashara bado inalipa kwa sasa? Nataka na mimi nije huko Jijini kwa ajili ya kufanya tathmini ya hiyo biashara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara inalipa endapo unapeleka mkoani .Vipi biashara bado inalipa kwa sasa? Nataka na mimi nije huko Jijini kwa ajili ya kufanya tathmini ya hiyo biashara.
Pambana usiogope changamoto.Asante, nimerudi kutoa feedback baada ya kukutana na Mr waziri na kunipa muongozo wa kuanza biashara ya dagaa, naendelea kupambana kwa kutumia uzoefu alio nipa mambo yanaenda
Jamii forum ni zaidi ya chuo kikuu nimepata cha kufanya.
Natamani kufanya hiyo biashara naomba msaada wako....Asante, nimerudi kutoa feedback baada ya kukutana na Mr waziri na kunipa muongozo wa kuanza biashara ya dagaa, naendelea kupambana kwa kutumia uzoefu alio nipa mambo yanaenda
Jamii forum ni zaidi ya chuo kikuu nimepata cha kufanya.
Piga simu namba ipo hapo juu,sijawahi badiliThank for your inspiration story...plz Dm me ... I wish to start business .