Nilivyopelekwa milembe wakidhani mi kichaa kumbe ni mzima

Nilikuwa chumbani kwangu mara nikamiuona mtu (kivuli chenye umbo la mtu) nikaanza kupiga kelele baba mtuu ,mzee katoka nduki hadi chumbani kwangu akauliza yuko wapi huyo mtu nikaonyesha alipo mzee wangu bila uoga akasogea hadi pale ....

Akanigeukia huku ananishanga "mtu gani si nguo hii ??? " πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kumbe ilikuwa nguo niliitupa kwenye baiskel sasa ikajichora umbo la mtu plus uoga nikawa naiona Kama incheza
 
Alkasuus mujaarab hii

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ulikuwa wa kutiwa vibao tu akili ikae sawa, Mirembe huwa hawapelekwi watu wenye wenge la kuona sijui fisi...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ hujamalizia uzi mkuu...

vp ulifanikiwa kuingia mirembe?? au safari iliishia njian
 
Sio kwamba hizo dawa ndio zilikuletea maruwe ruwe, hakukua na hvyo vitu ulivyoviona?😁
 
Duniani kuna mambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…