Nilivyopelekwa milembe wakidhani mi kichaa kumbe ni mzima

Pole sana mkuu. Ndio ukubwa huo.

Kuna watu wanajifanya wasomi hawaamini uchawi ngoja yawakute.

Huku kwetu wachawi wanakuchukua usiku wanakupeleka ukalime, asubuhi unaamka na matope miguuni.
 
Hayajawakuta
 
Back
Top Bottom