Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Hujatuambia huku nyuma mzee wako hakukutafuta
 
Kama biblia na koran vinakosolewa sembuse mimi,kwa waliokuwepo miaka ile haya ni mambo ya kawaida sana,tena kuna watu walidandia meli kupitia ile kamba ya nanga MshanaJR mzee mwenzangu njoo uwaelezee wadogo zetu wajue tulivxo husle
Na kwenda kulala kwenye mabeach ya Maputo...
 
[emoji23][emoji23]mwamba wa Canada katisha Sana. Katumia Fursa kitaalamu mno

Ni kawaida, mzee. Ni kitu wengi wanafanya wakishafika kule. Jamaa alienda fresh tu kwa mualiko wa kawaida, ila kuruhusiwa kubaki ndio mwanasheria wake kamshauri ajifanye hivyo.
 
Endelea kuwakimbia warembo wa IFM tu
 
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Mkuu sio lemutuz kweli wewe?
 
Mkuu sio lemutuz kweli wewe?
 
Kumbe tupo wengi.Sometime Ukimwambia mtu uko states anachukulia kama vile unakula maisha kumbe sometimes ni Msoto
 
Hao watoto wako umewachukua?mbususu za wazungu na wabongo zipoje?je kuna tofauti(swali la kipumbafu)
 
Yule mwanamke wa kizungu alifanya niwachukie wanawake wote,nikapata mwanamke wa kichaga baada ya kurudi nchini nae alinizingua sana,nina chuki na wanawake na sitokuja kuoa
Pole! Uzuri una watoto, watafute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…