Nilivyotengeneza dola 1,000 kwa siku 30 kama Online Freelancer nikifanyia kazi zangu nyumbani

Nilivyotengeneza dola 1,000 kwa siku 30 kama Online Freelancer nikifanyia kazi zangu nyumbani

GLOBAL CITIZEN Asante mkuu nami nimejiunga leo nimeona kazi nyingi sana naanza kupply na kutuma proposals. Asante kwa thread yako watanzania tumelala sana kwenye haya mambo wakati unapata hela kwa kuandika na unakuwa umekaa yaani nimejiunga fasta na naanza kupata kazi.
 
Shukrani mkuu.

Piga kazi
 
Greetings Everybody.

Kwanza kabisa leo nianze kwakusema huu uzi utaleta mjadala mkali kwahiyo nimekuja na Proof ili matomaso wote wajionee. Pia niseme sipo hapa kujionyesha. Lengo langu ni moja tu.

Nataka nitoe inspiration kwa maelfu ya vijana wenzangu wenye njaa ya pesa wataosoma uzi huu 🤜🏽.

Nafahamu changamoto ya ajira na jinsi watu wanavyosota kwahiyo naaamini kama nitaweza andika post inakayosaidia kutoa inspiration kukufanya uinuke hapo ulipo sasa hivi na kwenda kupiga kazi basi nitakuwa nimefanya jambo zuri na InshAlah nitaongezewa [emoji1431].

Binafsi natambua umuhimu wa inspiration katika life kwasababu bila inspiration ni ngumu kuona success inafananaje ndiyo maana watu wengi wanaoishi katika jamii zisizo na mwamko wakutafuta pesa watu wote hubakia hivyo kwasababu kila mtu anayemfahamu si wakuwaza mambo makubwa hasahasa katika muktadha wa pesa [emoji383]

Binafsi nakutakia mafanikio mtu wangu. Keep that fire inside you[emoji91] burn all day everyday. Usipokuwa on Fire kama nilivyoandika katika post yangu hii ni ngumu kuwa na self motivation yakufanya kazi kila iitwapo leo.

Listen
Kupata mafanikio kwenye jambo lolote ni ngumu. Lakini iwapo utafuata mbinu fulani kwa walioweza kupata mafanikio kwa Level unayohitaji basi hiyo inawezekana sana tu.

Swali ni je, upo katika “moto” wakutosha kufuata ndoto zako bila kuogopa? Kwasababu no matter how good you think you are. You will fail many times before you hit your bigger goals in life. Hiyo Point kwamba utafail mara nyingi kabla hujapata unachokitaka itakupa motivation ukikosea uendelee tena na tena na si kuanza complaining and b**ch around.

Ok cool. Let me share my story.

Nilinza Online Freelancing 2016.

Hii haikuwa kwenye hizi freelancing site kama UpWork au Freelancer. Hizi kazi nilikuwa namfanyia rafiki yangu toka ng’ambo (hapa Chuganstan tunaita mbele [emoji6]) kila mara alipohitaji translation ya Kiswahili. Nafanya kazi ananilipa. Hii experience kwangu ilikuwa ni eye opener. Miaka michache baadaye nikaanza kujiunga kwenye freelancing sites tofauti lakini kama unavyojua beginners waliovyo, nilikuwa sipo active sana kwahiyo sikuweza kupata kazi.

Pia kingine sikufahamu mbinu zakukamata attention ya client ninapomwandikia proposal kila mara ninapo-apply kazi nayodhani ninauwezo wakuifanya. Nilikiwa naandika kama vile watu wengi wanavyofanya. Ooooh I have ten year experience. I have college degree blah blah blah.......

Hiyo haikusaidia kitu. Hata client hawakujisumbua kujibu achilia mbali kunipatia kazi. Lakini leo the story is different.

Nataka sasa nikuonyeshe jinsi navyopata kazi za $1000+

Angalia hii.

View attachment 1235189

View attachment 1235192

View attachment 1235195

Kama unavyoona hapo kwenye picha ukifanya kazi as smart person na kufahamu kipi client anachotaka ni rahisi kupata hizi deals.

Na jambo zuri ni kwamba unafanya kazi zako kwa uhuru na taratiibu unavuta pesa yako.

Isn’t that cool [emoji41]?

Ok.

Najua watu wengi watakimbilia kwenda kufungua Account nakuanza ku-apply kazi hovyo hovyo.

Niseme tu. You will fail big time.

Na sababu hapa ni kwamba you don’t have experience.

Je, ninaweza kukusaidia hapa?

Sure. Why not?

And yes I will CHARGE YOU MONEY [emoji383]for my time.

Lakini nitahakikisha nakupatia mafunzo sahihi ambayo kweli yatakusaidia.

Ok.

Sasa tungalie mambo matatu kwaharaka yatakayokufanya ufanikiwe ukiwa unaanza Online Freelancing. Kumbuka haya mambo ni basics tu. There so many more to learn.

1 • Jifunze ku-Hustle.

Lengo kubwa la kuanzishwa Online freelancing sites ni kusaidia watu wenye vipaji kutoa ujuzi wao na wao kulipwa pesa. Unajua sasa hivi makampuni mengi yanakwepa kuajiri wafanyakazi wasio deliver value yoyote huku wakipokea mishahara + health benefits + allowances na kadhalika. Hiyo ni hasara kwa Business ukizingatia wafanyakazi wengi ni mizogo kwa taasisi au kampuni.

Sasa hapa ndiyo inakuja Point ya clients kutafuta freelancers. Wanataka watu wanaojua ku-deliver na kufanya kazi kwa ubora wa juu. Sasa kwasababu freelance sites zinatoa nafasi kwa freelancers wengi duniani kote ku-apply kwa kazi husika basi ni sahahi kusema client lazima atapata freelancer mwenye ujuzi wa juu tena kwa gharama nafuu.

Angalia hii screenshot.

View attachment 1235196

Ok sasa nikirudi kwenye Point ya hustling ni kwamba unahitaji kuwa katika Hustle mode.

Kuwa smart kazi ipi ni sahihi kwako na ina unanafasi kubwa yakushinda. Usiwe mtu wakurupuka.

Unahitaji kuwa active Online. Kama umetumiwa message au Email jibu kwa wakati.

Kuna baadhi ya watu hata kujibu Email tu inawachukua wiki. Kama upo hivi this Online thing is not for you.

2 • Onyesha Skills zako na si University Degree.

Hapo vipi?

Kuna watu wanaishi kwenye illusion kwamba kwasababu upo na “gamba” la chuo kikuu basi unashahili kupata kazi kwasababu umesomea huo ujuzi ☹.

Hiyo siyo kweli mtu wangu.

Kwanza client doesn’t cares about your degree.

Anachojali yeye ni kufanyiwa kazi yake kwa ukamilifu. Na kufanikisha hili unahitaji some tricks to gain his or her attention. I’m the master at this skill.

3 • You are not going to make $1,000+ kisa tu umesoma Hii post.

Yes.

Kuna watu wapo na unrealistic goals.

Wanataka pesa lakini hawapo tayari kufanya kazi au kupata experience inayotakiwa.

Hawa wanaumwa ungonjwa unaitwa shiny object syndrome.

Mtu wangu unahitaji muda. Unahitaji guidance lakini pia kuendelea kujifunza mwenyewe.

Hakuna mtu anayeweza kukufundisha kila kitu. Unachotakiwa kupata ni taarifa sahihi jinsi gani unaweza kuwa freelancer mwenye mafanikio.

Baada ya hapo utaweza kuendelea mwenyewe kwasababu tayari una msingi mzuri.

Ok.

Ngoja niishie hapa.

Sasa ni wakati wa kwenda na kufanyia kazi yote niliyoandika.

Pia tukutane tena katika post nyingine yenye kufundisha kama hii

Bless up!

Siku ambayo utaonesha transaction yoyote uliyofanya freelancer ndio siku ambayo watu wengi watakusikiliza na watakutafuta kwa pesa uwafundishe hiyo skills kwa sasa wengi wanakuona tapeli. Maana tapeli ni mtu mwenye maneno mengi bila kuonesha PROOF ya kile anachokiongelea day in and day out.

Cheers!
 
Mkuu nadhani unanichukulia kwa juu juu.

Ok ngoja nikuonyeshe kazi hii ndogo nimeianza j3.

Lakini hata utaelewa?

IMG_6827.JPG

Hiyo kazi ni $110

Haya sasa njoo unilipe Tsh 15,000 nikupe ujuzi.

Mimi si mtu wa blah blah mkuu.

Watu ninaowafundisha nawatoza pesa kwasababu nawapatia value.
 
Fake chats

This one is authentic bro.

Mkuu naona una wasiwasi kama ulishawahi kung’atwa na nyoka.

Mimi siwezi kukuchukulia pesa yako kwa njia ya udanganyifu.

I’m the realest one in da building [emoji383][emoji91][emoji110]
 
Siku ambayo utaonesha transaction yoyote uliyofanya freelancer ndio siku ambayo watu wengi watakusikiliza na watakutafuta kwa pesa uwafundishe hiyo skills kwa sasa wengi wanakuona tapeli. Maana tapeli ni mtu mwenye maneno mengi bila kuonesha PROOF ya kile anachokiongelea day in and day out.

Cheers!

Mkuu njoo ujibu.

Nimeweka proof naona umekimbia?
 
Mkuu njoo ujibu.

Nimeweka proof naona umekimbia?

Nipo mkuu hivyo ndivyo professional marketer wanavyofanya kuvuta watu .

Ningetamani kuona $1000 uliyopiga kwa mwezi nikona imekuwa transfer from freelancer account to bank account. Ningekuja wa kwanza na dau lolote unipige pindi.
 
Wewe kweli unafurahisha mkuu.

Baada ya kukuonyesha bank transfer utaniambia nikuonyeshe jinsi natumia pesa kama kweli ya kwangu [emoji23]

You fun man.

Mkuu haya mambo kawaida tu kwangu.

Siwezi kudanganya kwa lolote lile.

Why should I?
 
Au hata message ya kupokea pesa kutoka freelancer. Maana mm uwa pia nafanya online business najua , na watu wengi wakija kutaka kufundishwa wanataka proof nawaonesha wanaridhika, wengi wanaosema wanaingiza pesa through online business ni miongoni mwa watu ambao hawaingizi kabisa pesa mtandaoni.
 
You must be the the dumbest person to think I will share my bank details with random people I meet on JF.

Hakuna chaajabu mimi kutengeneza pesa kama Freelancer.

Nachoona hapa wala huitaji proof.

Ulitegemea ningeshindwa kuweka proof.

Nimeweka sasa unaanza kurukaruka [emoji23]

I’m the realest one in da building my brother.
 
Kuingiza pesa mtandao ni rahisi , kazi kuziamisha ziende kwenye akaunti ya bank. Na wengi wanataka waone iyo hatua. Nitahitaji kujikaza uoneshe, ukiwin ilo. Nitakuwa ambassador wako kwenye social media.
 
Uzi mrefu. Kumbe unataka utengeneze mshiko kwa kufundisha watu. Kwanini usiendelee kutengeneza dola 1000 kila mwezi kwa kufanya kazi online? Halafu lugha unayotumia kudeal na critics wako ni kama aliyokuwa anaitumia Ontario kuzima critics. Sasa unawaambia watu "Dumbest", hiyo ni sign kwamba wakae mbali na Kishoka. Kishoka anakuwa na hasira watu wakimhoji...
 
Fact
 
Mkuu bado naona upo.

Sasa kuna ugumu gani kuhamisha pesa kutoka UpWork kwenda bank?

Are you like serious?

Kweli watu mnaishi dunia ya tofauti sana.

IMG_6831.JPG

IMG_6830.JPG

Haya lete maneno nyingine.
 
Uzi mrefu. Kumbe unataka utengeneze mshiko kwa kufundisha watu. Kwanini usiendelee kutengeneza dola 1000 kila mwezi kwa kufanya kazi online? Halafu lugha unayotumia kudeal na critics wako ni kama aliyokuwa anaitumia Ontario kuzima critics. Sasa unawaambia watu "Dumbest", hiyo ni sign kwamba wakae mbali na Kishoka. Kishoka anakuwa na hasira watu wakimhoji...

Tulia wewe.

Mimi ukinisoma kuna mambo mawili utapata.

Either utachukia au utaenda kujifunza ninayoandika.

Unauliza kwanini nisiendelee kufanya kazi hizi za $1,000? Nataka pesa yako ya kukufundisha?

Jibu ni rahisi tu.

I’m hungry for money [emoji383]

Kama Bakhressa vile.

Ana mabilioni lakini bado anauzia watu ice cream [emoji509]

Don’t you ask yourself why?
 
Unatafuta hela ila huna maarifa ya kutafuta ndo maana unakuja kizembe zembe humu. Huna product yoyote halafu unataka kuuzia watu kwa hadithi za Alfu na lela. Umefanya kitu mwezi mmoja. Fanya mwaka mzima. Tengeneza mpaka dola 10,000 ndo uje uanze kuuza training. Ndo mambo ya Ontario. Kafanya Forex mwezi, kaanza kujifanya anafundisha watu. Ilipomshinda kakimbiaa akaunti yake humu😀😀. Kuna dynamics nyingi kwenye biashara ya mtandaoni. Inabidi mtu apate uzoefu wa kutosha ndo aweze kushare elimu na wengine. Wewe una mwezi tu unasema unaweza kufundisha mtu, si ujanja ujanja huo. Na hata hiyo ya kutumia dola 1000 kama mfano umeweka kama bait. Haimake sense mtu anayetengeneza dola 1000 per month aanze kuliliakuuza training kwa 15000 na hapo hana hata platform ya kufundishia watu wengi kwa wakati mmoja. Kufundisha watu kwa elfu kumi na tano ina bidi uwe na distribution channel kuingiza mkwanja. Wewe unafundishia Whatsapp, una full njaa tu. Unamzungumzia Bakhresa kama mmachinga. Ushawahi jiulize nini kinafanya watu kama hao waendeleee kuwa matajiri? Effective Distribution model ya product...Kwanza verify akaunti yako kama unajua unachokifanya
 
Back
Top Bottom