benny gilbert
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 110
- 65
Mkuu bado naona upo.
Sasa kuna ugumu gani kuhamisha pesa kutoka UpWork kwenda bank?
Are you like serious?
Kweli watu mnaishi dunia ya tofauti sana.
View attachment 1249196
View attachment 1249197
Haya lete maneno nyingine.
Tuma message ya crdb inayokuja baada ya kupokea pesa kutoka bank wire au email list ikionesha $1000 kwa mwezi.