Nilivyotengeneza dola 1,000 kwa siku 30 kama Online Freelancer nikifanyia kazi zangu nyumbani

Nilivyotengeneza dola 1,000 kwa siku 30 kama Online Freelancer nikifanyia kazi zangu nyumbani

Thanks kwa kutustua bro.. Huyu jamaa anatumia nguvu nyingi kujenga hoja zenye missing connections. Acha tubaki wa tz tunaochelewa kuchangamkia fursa kuliko kufanywa mazuzu kiboyaboya.

Hakuna cha ajabu hapa.

Ni wewe tu unaishi kwenye FEAR.

Wewe unataka nikufundishe bure?

Unapenda sana vitu vya bure?

Mimi nipo wazi.

Ukinifuata nikupatie maarifa nitakutoza pesa [emoji383]

Unajua kwasababu gani?

Nakupatia value.

Simple.

Kama huitaji na mimi wala sikuhitaji.

Pia sijakufunga mikono.

Baada ya kusoma hapa unaweza kwenda mwenyewe kujifunza zaidi google au YouTube ili usije kwangu niku-charge pesa.

Usiwe jinga mkuu.

You sound so stupid man.

I must tell you.
 
Sure All the time,JF is awesome.

Fanya kitu rahisi tu,kwa faida yako kiongozi.

1.Badilisha mwandiko wako/mtiririko wa namna unavyoandika/post wkt ukiwa unatumia ID zako 2 tofauti,unaji-expose kizembe sana.

2.acha kutumia tumia mfano wa bakhressa na ice cream zake kila saa kwny hizi ID zako tofauti tofauti.

Hakuna kitu unachofahamu.

Your guess is wrong big time.

Try again.
 
Nakuona mkuu CONTROLA ukiwa katika Id yako nyingine tena,jitahidi uwe unabadili mwandiko basi mzee baba.

CONTROLA=GLOBAL CITIZEN

View attachment 1249299
sasa mkuu mimi ni Ontario au huyu jamaa wa Global?

hebu wasaidie wengine wasio weza chimbua chimbua mambo

wamjue CONTROLA ni yupi na anatumia ID ipi na ipi maaana

Kuna watu wanakufatilia unavyonichimbua na ume win attention yao haswaaa...
 
Sawa msalimie CONTROLA.
Maana kwenye ule uzi wa kuingiza 30k uliunga dot zako weeee

mwisho ukaja nichana live kuwa unaendelea kuamini mimi ni ONTARIO

Huku tena umekutana na huyu jamaa na kampeni yake,umenichomekea na mimi

Asee laiti ungeijua ID yangu nyingine TRUST me ungeniomba msamaha na ningekuacha Machoo 👀 👀 👀

For the time Being just keep your head up...

cheers😉😉
 
You must be the the dumbest person to think I will share my bank details with random people I meet on JF.

Hakuna chaajabu mimi kutengeneza pesa kama Freelancer.

Nachoona hapa wala huitaji proof.

Ulitegemea ningeshindwa kuweka proof.

Nimeweka sasa unaanza kurukaruka [emoji23]

I’m the realest one in da building my brother.
'I’m the realest one in da building my brother.'I agree with you bro.
Utapeli wako haujifichi kabisa.Keep it up da realest one..real than real herself..
 
'I’m the realest one in da building my brother.'I agree with you bro.
Utapeli wako haujifichi kabisa.Keep it up da realest one..real than real herself..
MTU kakadhana tu kuita wengine dumb. Boya tu, anadhani tunaochangia hapa mafala.
 
Ila for real ukiachana na doubt za wadau kuhusu huyu jamaa,hii up work sio rocket science,tujifunze tutengeneze hela,ni platform inajulikana kwa online freelance work,na sio hiyo tu ziko mingi Sana.Najua I had in mind tatizo la kufanya transfer ya pesa kuja kwa account local,Kuna rafiki yangu mkenya alikua anatumia account ya pioneer (not sure na spelling) unafu gua online wanakutumia kadi unatoa kwa ATM thru visa/master card platform
 
Payoneer
 
Hapa JF wajinga wengi.

You don’t need payoneer to receive your money from UpWork.

Mbona nimeonyesha hapo Account yangu?

Pia nimeweka wazi natumia CRDB wire transfer.

There so many dumb people in this forum [emoji1430]
 
Wabongo bana mtu kaonyesha jinsi unaweza pata pesa kwa dizaini flani,badala ya kufanyia utafiti mnaanza tu kupinga pinga.
Mtu kuingiza dola 1000 ndo imekua ishu au mbona hela ndogo sana iyo? Websites za freelancers zipo nyingi ni wewe tu na juhudi zako coz sio kazi rahisi
 
i have been using freelancer.com: can you compare to upwork bro?

Read this post I wrote few days ago.

Fahamu platform gani ni rahisi zaidi kupata job offer
 
Read this post I wrote few days ago.

Fahamu platform gani ni rahisi zaidi kupata job offer

shukrani boss, naipitia
 
shukrani boss, naipitia

Alright man

Jiweke kama professional utapata kazi tu.

Watu wanalalika hawapati kazi ukiona profile zako it is a joke.

Inabidi client aone kweli wewe ndiye unayefaa.

Ukitaka kujifunza zaidi hit me up with pm or email
 
Ok nilisema siku nikupata gig Freelancer.com nitawajulisha hapa.

I got first gig on freelancer.com $400

IMG_7068.JPG
 
Back
Top Bottom