Nilivyotengeneza dola 1,000 kwa siku 30 kama Online Freelancer nikifanyia kazi zangu nyumbani

GLOBAL CITIZEN Asante mkuu nami nimejiunga leo nimeona kazi nyingi sana naanza kupply na kutuma proposals. Asante kwa thread yako watanzania tumelala sana kwenye haya mambo wakati unapata hela kwa kuandika na unakuwa umekaa yaani nimejiunga fasta na naanza kupata kazi.
 

Shukrani mkuu.

Piga kazi
 

Siku ambayo utaonesha transaction yoyote uliyofanya freelancer ndio siku ambayo watu wengi watakusikiliza na watakutafuta kwa pesa uwafundishe hiyo skills kwa sasa wengi wanakuona tapeli. Maana tapeli ni mtu mwenye maneno mengi bila kuonesha PROOF ya kile anachokiongelea day in and day out.

Cheers!
 

Mkuu nadhani unanichukulia kwa juu juu.

Ok ngoja nikuonyeshe kazi hii ndogo nimeianza j3.

Lakini hata utaelewa?



Hiyo kazi ni $110

Haya sasa njoo unilipe Tsh 15,000 nikupe ujuzi.

Mimi si mtu wa blah blah mkuu.

Watu ninaowafundisha nawatoza pesa kwasababu nawapatia value.
 
Fake chats

This one is authentic bro.

Mkuu naona una wasiwasi kama ulishawahi kung’atwa na nyoka.

Mimi siwezi kukuchukulia pesa yako kwa njia ya udanganyifu.

I’m the realest one in da building [emoji383][emoji91][emoji110]
 

Mkuu njoo ujibu.

Nimeweka proof naona umekimbia?
 
Mkuu njoo ujibu.

Nimeweka proof naona umekimbia?

Nipo mkuu hivyo ndivyo professional marketer wanavyofanya kuvuta watu .

Ningetamani kuona $1000 uliyopiga kwa mwezi nikona imekuwa transfer from freelancer account to bank account. Ningekuja wa kwanza na dau lolote unipige pindi.
 
Nipo mkuu hivyo ndivyo professional marketer wanavyofanya kuvuta watu .

Ningetamani kuona $1000 uliyopiga kwa mwezi nikona imekuwa transfer from freelancer account to bank account. Ningekuja wa kwanza na dau lolote unipige pindi.

Wewe kweli unafurahisha mkuu.

Baada ya kukuonyesha bank transfer utaniambia nikuonyeshe jinsi natumia pesa kama kweli ya kwangu [emoji23]

You fun man.

Mkuu haya mambo kawaida tu kwangu.

Siwezi kudanganya kwa lolote lile.

Why should I?
 
Wewe kweli unafurahisha mkuu.

Baada ya kukuonyesha bank transfer utaniambia nikuonyeshe jinsi natumia pesa kama kweli ya kwangu [emoji23]

You fun man.

Mkuu haya mambo kawaida tu kwangu.

Siwezi kudanganya kwa lolote lile.

Why should I?

Au hata message ya kupokea pesa kutoka freelancer. Maana mm uwa pia nafanya online business najua , na watu wengi wakija kutaka kufundishwa wanataka proof nawaonesha wanaridhika, wengi wanaosema wanaingiza pesa through online business ni miongoni mwa watu ambao hawaingizi kabisa pesa mtandaoni.
 

You must be the the dumbest person to think I will share my bank details with random people I meet on JF.

Hakuna chaajabu mimi kutengeneza pesa kama Freelancer.

Nachoona hapa wala huitaji proof.

Ulitegemea ningeshindwa kuweka proof.

Nimeweka sasa unaanza kurukaruka [emoji23]

I’m the realest one in da building my brother.
 

Kuingiza pesa mtandao ni rahisi , kazi kuziamisha ziende kwenye akaunti ya bank. Na wengi wanataka waone iyo hatua. Nitahitaji kujikaza uoneshe, ukiwin ilo. Nitakuwa ambassador wako kwenye social media.
 
Uzi mrefu. Kumbe unataka utengeneze mshiko kwa kufundisha watu. Kwanini usiendelee kutengeneza dola 1000 kila mwezi kwa kufanya kazi online? Halafu lugha unayotumia kudeal na critics wako ni kama aliyokuwa anaitumia Ontario kuzima critics. Sasa unawaambia watu "Dumbest", hiyo ni sign kwamba wakae mbali na Kishoka. Kishoka anakuwa na hasira watu wakimhoji...
 
Fact
 
Kuingiza pesa mtandao ni rahisi , kazi kuziamisha ziende kwenye akaunti ya bank. Na wengi wanataka waone iyo hatua. Nitahitaji kujikaza uoneshe, ukiwin ilo. Nitakuwa ambassador wako kwenye social media.

Mkuu bado naona upo.

Sasa kuna ugumu gani kuhamisha pesa kutoka UpWork kwenda bank?

Are you like serious?

Kweli watu mnaishi dunia ya tofauti sana.





Haya lete maneno nyingine.
 

Tulia wewe.

Mimi ukinisoma kuna mambo mawili utapata.

Either utachukia au utaenda kujifunza ninayoandika.

Unauliza kwanini nisiendelee kufanya kazi hizi za $1,000? Nataka pesa yako ya kukufundisha?

Jibu ni rahisi tu.

I’m hungry for money [emoji383]

Kama Bakhressa vile.

Ana mabilioni lakini bado anauzia watu ice cream [emoji509]

Don’t you ask yourself why?
 
Unatafuta hela ila huna maarifa ya kutafuta ndo maana unakuja kizembe zembe humu. Huna product yoyote halafu unataka kuuzia watu kwa hadithi za Alfu na lela. Umefanya kitu mwezi mmoja. Fanya mwaka mzima. Tengeneza mpaka dola 10,000 ndo uje uanze kuuza training. Ndo mambo ya Ontario. Kafanya Forex mwezi, kaanza kujifanya anafundisha watu. Ilipomshinda kakimbiaa akaunti yake humu😀😀. Kuna dynamics nyingi kwenye biashara ya mtandaoni. Inabidi mtu apate uzoefu wa kutosha ndo aweze kushare elimu na wengine. Wewe una mwezi tu unasema unaweza kufundisha mtu, si ujanja ujanja huo. Na hata hiyo ya kutumia dola 1000 kama mfano umeweka kama bait. Haimake sense mtu anayetengeneza dola 1000 per month aanze kuliliakuuza training kwa 15000 na hapo hana hata platform ya kufundishia watu wengi kwa wakati mmoja. Kufundisha watu kwa elfu kumi na tano ina bidi uwe na distribution channel kuingiza mkwanja. Wewe unafundishia Whatsapp, una full njaa tu. Unamzungumzia Bakhresa kama mmachinga. Ushawahi jiulize nini kinafanya watu kama hao waendeleee kuwa matajiri? Effective Distribution model ya product...Kwanza verify akaunti yako kama unajua unachokifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…