benny gilbert
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 110
- 65
Mkuu bado naona upo.
Sasa kuna ugumu gani kuhamisha pesa kutoka UpWork kwenda bank?
Are you like serious?
Kweli watu mnaishi dunia ya tofauti sana.
View attachment 1249196
View attachment 1249197
Haya lete maneno nyingine.
Unatafuta hela ila huna maarifa ya kutafuta ndo maana unakuja kizembe zembe humu. Huna product yoyote halafu unataka kuuzia watu kwa hadithi za Alfu na lela. Umefanya kitu mwezi mmoja. Fanya mwaka mzima. Tengeneza mpaka dola 10,000 ndo uje uanze kuuza training. Ndo mambo ya Ontario. Kafanya Forex mwezi, kaanza kujifanya anafundisha watu. Ilipomshinda kakimbiaa akaunti yake humu😀😀
Tuma message ya crdb inayokuja baada ya kupokea pesa kutoka bank wire au email list ikionesha $1000 kwa mwezi.
I am dumb, but you are dumb too without knowing...Go and work on your emotional intelligence kwanza kama unataka kuwa serious businessman... 😀 😀 😀Stop being a hater my brother.
You won’t gain nothing from hating.
Labda nikupe tu taarifa. I make money [emoji383] kwa watu ninaowapatia value.
Na ndiyo maana siachi kuandika hapa JF.
Sasa hivi tunaishi kwenye skill economy.
Nafahamu....
You are so dumb to understand this.
I’m entrepreneur. I think differently.
Money on my mind [emoji383][emoji91]
You are one of the dumbest people I met recently.
Sorry for saying this mkuu.
But trust me. You are.
Why should I care that much? Sharing my bank details with you?
Najua unajusikia vibaya nimekuonyesha Proof mara mbili na ulitegemea nitashindwa.
Pole sana boss. Najua wivu unakusumbua [emoji6] (kidding)
I am dumb, but you are dumb too without knowing...Go and work on your emotional intelligence kwanza kama unataka kuwa serious businessman... 😀 😀 😀
Sina wivu bro. I want to know who you are, thats why I asking for.
Ficha balance uonesha kilichoingia bro. Mbona simpla kama unaingiza pesa online, hapo ndipo wabongo hawaminiki public. Kama kweli unapiga pesa piga kimya kimya ukija public njoo na proof ya pesa kuingia bank na message utuonesha ficha akaunti namba na salio lilopo ila kilichoingia au hata email.
Uwezi kupokea pesa kwenye mtandao kwenda bank bila email. Email first from online payment then bank second after 3days.
Ndo mbinu iliyobaki? 😀😀😀. I don't hate you. No reason to hate you. Utatuambia umepata hela ngapi ya training. Unaruka ruka tu na Ego...Nimekuambia kafanyie kazi emotional intelligence yako. Maana tu critics kidogo wamekushake unaanza kutujibu. Ungekuwa smart kama unavyosema wala usingehangaika kumjimbu mtu dumb kama mimi. Au ndo unadai strategy? Strategy on increasing visibility based on kujibishana? What **** is that? Ukipata hata watu wawili uje useme hapa. Wanaokupongeza wataishia tu kukusifia, hakuna mteja hapo. Namba moja hakuna atakayekuwa mjinga kutuma hela kwa mtu anayetumia Fake ID.
Hahah katoto kajinga sana kale mkuu.Kale kajamaa ni noma,eti walikuwa wakimuita Young Tycoon [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tulia wewe.
Mimi ukinisoma kuna mambo mawili utapata.
Either utachukia au utaenda kujifunza ninayoandika.
Unauliza kwanini nisiendelee kufanya kazi hizi za $1,000? Nataka pesa yako ya kukufundisha?
Jibu ni rahisi tu.
I’m hungry for money [emoji383]
Kama Bakhressa vile.
Ana mabilioni lakini bado anauzia watu ice cream [emoji509]
Don’t you ask yourself why?
Nakuona mkuu CONTROLA ukiwa katika Id yako nyingine tena,jitahidi uwe unabadili mwandiko basi mzee baba.
CONTROLA=GLOBAL CITIZEN
View attachment 1249299
Umetisha mkuu.
Hahahaa.
Huyo member simfahamu kabisa.
Unanifananisha na CONTROLA tena?
Jitahidi kubadilisha mwandiko mkuu.
Unajua watu wazima humu tunakucheki tu tunasema hiiiiiiiiiiii.
Thanks kwa kutustua bro.. Huyu jamaa anatumia nguvu nyingi kujenga hoja zenye missing connections. Acha tubaki wa tz tunaochelewa kuchangamkia fursa kuliko kufanywa mazuzu kiboyaboya.Au hata message ya kupokea pesa kutoka freelancer. Maana mm uwa pia nafanya online business najua , na watu wengi wakija kutaka kufundishwa wanataka proof nawaonesha wanaridhika, wengi wanaosema wanaingiza pesa through online business ni miongoni mwa watu ambao hawaingizi kabisa pesa mtandaoni.
Ngashtuka[emoji851][emoji851][emoji851]Uzi mrefu. Kumbe unataka utengeneze mshiko kwa kufundisha watu. Kwanini usiendelee kutengeneza dola 1000 kila mwezi kwa kufanya kazi online? Halafu lugha unayotumia kudeal na critics wako ni kama aliyokuwa anaitumia Ontario kuzima critics. Sasa unawaambia watu "Dumbest", hiyo ni sign kwamba wakae mbali na Kishoka. Kishoka anakuwa na hasira watu wakimhoji...
Utamuua tapeli wa watuTuma message ya crdb inayokuja baada ya kupokea pesa kutoka bank wire au email list ikionesha $1000 kwa mwezi.
Mkuu jambo usilolijua ni kiza kingi.
Nasoma hapa nashangaa unavyosema mimi ni CONTROLA.
It does not make sense at all. Ndiyo maana nimekwambia umetisha.
JF is awesome. All the time [emoji1430]
[emoji23][emoji23][emoji23] hata chooni siendi nitakojoa kwenye kisado huu mchuano si wa kitotoSina wivu bro. I want to know who you are, thats why I asking for.
Ficha balance uonesha kilichoingia bro. Mbona simpla kama unaingiza pesa online, hapo ndipo wabongo hawaminiki public. Kama kweli unapiga pesa piga kimya kimya ukija public njoo na proof ya pesa kuingia bank na message utuonesha ficha akaunti namba na salio lilopo ila kilichoingia au hata email.
Uwezi kupokea pesa kwenye mtandao kwenda bank bila email. Email first from online payment then bank second after 3days.
Povu lishaanza [emoji23][emoji23][emoji23]Nop I’m not.
You are the dumbest person here.
The more you write hateful comments the more people read my thread.
And do you know what that mean?
Money [emoji383]
Now tell me. Who’s dumb here?