GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
- Thread starter
-
- #61
Thanks kwa kutustua bro.. Huyu jamaa anatumia nguvu nyingi kujenga hoja zenye missing connections. Acha tubaki wa tz tunaochelewa kuchangamkia fursa kuliko kufanywa mazuzu kiboyaboya.
Sure All the time,JF is awesome.
Fanya kitu rahisi tu,kwa faida yako kiongozi.
1.Badilisha mwandiko wako/mtiririko wa namna unavyoandika/post wkt ukiwa unatumia ID zako 2 tofauti,unaji-expose kizembe sana.
2.acha kutumia tumia mfano wa bakhressa na ice cream zake kila saa kwny hizi ID zako tofauti tofauti.
sasa mkuu mimi ni Ontario au huyu jamaa wa Global?Nakuona mkuu CONTROLA ukiwa katika Id yako nyingine tena,jitahidi uwe unabadili mwandiko basi mzee baba.
CONTROLA=GLOBAL CITIZEN
View attachment 1249299
Maana kwenye ule uzi wa kuingiza 30k uliunga dot zako weeeeSawa msalimie CONTROLA.
'I’m the realest one in da building my brother.'I agree with you bro.You must be the the dumbest person to think I will share my bank details with random people I meet on JF.
Hakuna chaajabu mimi kutengeneza pesa kama Freelancer.
Nachoona hapa wala huitaji proof.
Ulitegemea ningeshindwa kuweka proof.
Nimeweka sasa unaanza kurukaruka [emoji23]
I’m the realest one in da building my brother.
MTU kakadhana tu kuita wengine dumb. Boya tu, anadhani tunaochangia hapa mafala.'I’m the realest one in da building my brother.'I agree with you bro.
Utapeli wako haujifichi kabisa.Keep it up da realest one..real than real herself..
PayoneerIla for real ukiachana na doubt za wadau kuhusu huyu jamaa,hii up work sio rocket science,tujifunze tutengeneze hela,ni platform inajulikana kwa online freelance work,na sio hiyo tu ziko mingi Sana.Najua I had in mind tatizo la kufanya transfer ya pesa kuja kwa account local,Kuna rafiki yangu mkenya alikua anatumia account ya pioneer (not sure na spelling) unafu gua online wanakutumia kadi unatoa kwa ATM thru visa/master card platform
Ila for real ukiachana na doubt za wadau kuhusu huyu jamaa,hii up work sio rocket science,tujifunze tutengeneze hela,ni platform inajulikana kwa online freelance work,na sio hiyo tu ziko mingi Sana.Najua I had in mind tatizo la kufanya transfer ya pesa kuja kwa account local,Kuna rafiki yangu mkenya alikua anatumia account ya pioneer (not sure na spelling) unafu gua online wanakutumia kadi unatoa kwa ATM thru visa/master card platform
i have been using freelancer.com: can you compare to upwork bro?
Read this post I wrote few days ago.
Fahamu platform gani ni rahisi zaidi kupata job offer
Fahamu platform gani ni rahisi zaidi kupata job offer
Greetings. Kama kawaida leo tunakutana tena nikikupatia darasa muhimu kabisa ambapo nitajibu swali kati ya UpWork na Freelancer.com wapi unaweza kuwa na nafasi zaidi yakupata kazi? Jibu la swali hili litasaidia ufahamu platform gani uwekeze nguvu zako ili uongeze zaidi nafasi yako yakupata...www.jamiiforums.com
shukrani boss, naipitia