Nilivyoteseka na tatizo la nguvu za kiume

Nilivyoteseka na tatizo la nguvu za kiume

Haiingii akilini mpk unafikia miaka 27 hujawah kabisa kusex na mwanamke afu ghafla bin vuu, eti unatwambia mkeo unajua kumuanda vya kutosha mpk unajua kwamba kaloa.

Twambie hizo skills ulizitoa wapi?

Au ulikua mwangalia pucha za ngono na kujichua?
Mm 27 nlikiwa hakuna pipi ya ambiance hainijui
 
Pole sana. Mi ni tabibu. Ni kweli matatizo ya aina hiyo yapo mengi tu. Watu wanaweza fikiri ni hadithi lakini visa vya aina hii ni vungi sana.
Mi nina shida.

Ninamwaga sperms kidogo mno. Yaani kwangu bao la kwanza ni kama la tano.

Ila sina shida ya kusimama wala kurudia raundi
 
Mitandao yote hio inayofundisha jinsi ya kumuandaa mwenza.

Nilijifunza mengi kabla ya kuoa ili nisije kukosea katika tendo. Nilisoma pia vitabu vyenye muongozo wa elimu ya ndoa kwa mujibu wa imani yangu.

Ingekuwa ni kijana wa miaka ya 1620 nisingeweza kujua hayo ya kumuandaa mwenza.
Haiingii akilini miaka 27 yote umesoma vitabu TU,
afu siku ya ndoa unaingia 6×6 na unayajua yote ayo.

Hakuna anaeanzaga Mapenzi namna Iyo bhana, wengi TU wamepitia Hali iyo ila unachosema hakina uhalisia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasema nimeyajua yote, nimejua kumchezea mwanamke hadi ameroa.

Tena niliramba hadi masikio japo ndio mara yangu ya kwanza.
Hii ni kawaida mtu anaweza akawa ashagegeda sana na asijue kumuaanda mwenza wake.

Nikaja mimi ndo kwanza naanza kugegeda nikamuandaa vya vya kutosha baada ya ku google, kusikiliza na kusoma vitabu.

Na ukisoma vizuri uzi wangu nishachezea wanawake ila sikufanikiwa kugegeda.
Usijifanye mjuaji kuhusu mimi kaka.

Naona uzi wangu wote umetafuta kasoro ya kuitafita kisha ukaing'ag'ania nionekane muongo.

Kwani mimi nidanganye ulisikia nauza dawa? Au ninufaike nini kudanganya.
 
Haiingii akilini mpk unafikia miaka 27 hujawah kabisa kusex na mwanamke afu ghafla bin vuu, eti unatwambia mkeo unajua kumuanda vya kutosha mpk unajua kwamba kaloa.

Twambie hizo skills ulizitoa wapi?

Au ulikua mwangalia pucha za ngono na kujichua?

[emoji23][emoji23][emoji23]nmeshtuka sana hata mm
 
.."Baada ya mwezi kuisha mke wangu akawa mja mzito. Nikawa napeleka moto huku ana ujauzito, bila viagra bila booster ya aina yoyote. Tena moto moto kweli."
 
Kwa wale waliokosa nguvu za kiume atembelee duka letu lipo kimara mwisho aje na mke wake au mpenzi wake dawa yetu kuu ni MO energy ya baridi pmja na Diclopa Mr karibuni wateja
 
Sijasema nimeyajua yote, nimejua kumchezea mwanamke hadi ameroa.

Tena niliramba hadi masikio japo ndio mara yangu ya kwanza.
Hii ni kawaida mtu anaweza akawa ashagegeda sana na asijue kumuaanda mwenza wake.

Nikaja mimi ndo kwanza naanza kugegeda nikamuandaa vya vya kutosha baada ya ku google, kusikiliza na kusoma vitabu.

Na ukisoma vizuri uzi wangu nishachezea wanawake ila sikufanikiwa kugegeda.
Usijifanye mjuaji kuhusu mimi kaka.

Naona uzi wangu wote umetafuta kasoro ya kuitafita kisha ukaing'ag'ania nionekane muongo.

Kwani mimi nidanganye ulisikia nauza dawa? Au ninufaike nini kudanganya.
Hongera sana na mke wako nae anastahili pongezi!!
 
huyu ni mganga wa kienyeji anatafuta kula watu vichwa hapa. muwe makini.
 
Back
Top Bottom