Nilivyoteseka na tatizo la nguvu za kiume

No offense intended,
Nilikua nachangia TU kama wachangiaji wengine.[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hata kama ametunga kuna watu wanapitia haya mambo na yauwa sana ndoa nyingi kusema kweli ila kama ni kweli jamaa amepona basi itakuwa vizuri aka share details za huyo mmasai nadhani itakuwa vizuri zaidi
 
Umejibu vzuri sana
 
Watu mnatoa tu comment..... Ila omba haya mambo yasikukute
 
Mkuu wachawl waongee hivyo huyu jamaa sidhani kama ametunga kitu chochote hapa hii habari ya ukweli na haya mambo yapo sana tu....Watu wanapitia na wengine ndoa zinakufa nimefurahi sanaa kwa huyu jamaa kupona...
Yani watu awajui tu wanaongea mno
 
Pole sana mkuu anayeona kama unataka kufanya biashara muache lakini mimi story yako imenigusa ayo mambo yalishanitokea yaniumiza usiombe
 
Naunga miguu pamoja nawe mtoa mada umetupiga n kitu kizito puani unataka kupromote nn
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzoni alikuwa anataka ku promote bidhaa za forever, alivyoona tutamponda ama uzi wake utafutiliwa mbali na mods akaona bora azungumzie wamasai na kukana kabisa kuwa hana mawasiliano nao!
 
Nendeni hukooo Papuchi/mshedede inavo noga vile eti uache tu?? mpaka mtu unapoteza net work?MWEEE hujanidanganya badooo!...hata dadako akikukalia vibaya tu!!! kazi anayao!!

na wengi humu JF mmekulana kindugu uongo jamani???
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzoni alikuwa anataka ku promote bidhaa za forever, alivyoona tutamponda ama uzi wake utafutiliwa mbali na mods akaona bora azungumzie wamasai na kukana kabisa kuwa hana mawasiliano nao!
Haya matatizo ya nguvu za kiume yasikie tu kwa wenzako ila yapo na yanawatesa wengi SANA mtu anaposikia Kuna dawa ni lazima upagawe kupata tiba inauma sana unaiona mbususu hii hapa unashindwa kabisa kuichakata napenda sana watu wanaotoa shuhuda za kweli halafu wengine wanawakejeli
 
huyu jamaa kama ni kweli yalimkuta hayo majanga atatoa hizo namba za masai watu nao wapone wale maisha, ataokoa ndoa za watu kama ni uongo atavizia watu waje inbox
 
Nikafanya hivyo. Baada ya nusu saa ikanijia hali ambayo haikuwahi kunijia kabla. Nilisimama zaidi ya nondo. Nikapeleka moto kwa siku mbili.
Mmasai apewe heshima yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…