Nilivyotongozwa na msichana Baa

Acha masihara? Vile vibunda mbona hata akichomoa noti 2 au 3 akakubless sio issue kabisa kwake
Alafu nilimkumbushia kabisa hilo. Ngoja nimkumbushe na kumsisitiza tena
Asante sana Mungu akutunze sana shemeji yangu,una Moyo wa dhahabu Lamomy uko na WARIDI Kwa Nini hunukii?unanukia mi aloe vera,ujue roho ya dhahabu inaambukizwa?
 
🤣🤣🤣 Manyanza dawa zako unazotest mwenyewe zinaanza kukupa uchizi
Wewe subiri tu na utakuja kujiona kumbe sio mjanja ila unaigiza ni mjanja. Dawa zipi? Mbona unaishi maisha ya 90 wakati tupo 2024 sasa hivi?. Yaani una hisia negative sana 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…