Nilivyotongozwa na msichana Baa

Nilivyotongozwa na msichana Baa

Alimtamanisha Joannah kwamiburungutu ya dola 100, akamuahidi atampa hata noti 2(dola 200) na hata mm aliniambia anataka kumpa. Ila toka juzi anamzungusha tu bado hajampa
😂 😂 😂 😂
Mbona hapo kama mchezo wa Tom na Jerry halafu anayemtamanisha mwenzake ndio huumia. Asifanye hivyooo
 
Muda wa kurudi home huu, hapo yupo njiani kwenda home. Siku hizi boss anashinda kwa ofisi muda wote
Lazima asimamie la si hivyo watamuibia,basi ngoja niwe na subira nimeona mambo yasiwe mengi nimeshatuma wallet number ya muamala,naringa we upo hakiaribiki kitu ndio najiandaa hapa
 
Back
Top Bottom