Niliwaambia kuwa ili Tanzania ipate maendeleo mpaka kizazi cha 1940-1989 kiwe hakipo tena .

Niliwaambia kuwa ili Tanzania ipate maendeleo mpaka kizazi cha 1940-1989 kiwe hakipo tena .

Hiko ndo kizazi mabaki ya kina lumumba
kizazi cha 90s kimezaa kizazi cha kina lil durk na lil nas
ushoga mwingii na usoft wa kimagharibi
et kijana wa kiume anahitaji therapist
 
Hiki kizazi cha betting, ujanjaujanja, kukimbia majukumu na kuwa obssed na mitandao kuliko uhalisia ndo kikomboe nchi
 
Nahunga mkono hoja...
We assume tuu unapata mshangazi unakulea tuu wewe kazi yako ni kitandani tuu mkuu
 
Kweli, halafu chanzo HALISI cha Matatizo yote ni vyombo vya ulinzi na usalama, ambavyo kazi yao ni kuwabeba ccm kwenye uchaguzi hasa kuiba kura. Viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi na usalama wako kwenye rika hilo.
 
Jongoo hawezi kuzaa nyoka, yote yatakuwa ma jongoo tu.
Labda tufanye genetic modification haraka, na watakaoweza kufanya hicho kizazi kinachoishia.
 
Back
Top Bottom