OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hapo umethibitisha kwamba namba hazidanganyiWeka picha View attachment 1674636
Pole sanaMimi kuna mmoja humu nilimuimbisha sana. Akakubali kunipa namba sasa kumpigia naogopa kukwepesha fake ID. Baada ya mwezi nikamchek akaniambia niseme natumia ID gani, nikamtajia ID ya mshikaji mmoja humu hanaga makuu. Akanikatalia hajawahi kumpa namba yake. Akaacha kupokea simu