OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mimi kuna mmoja humu nilimuimbisha sana. Akakubali kunipa namba sasa kumpigia naogopa kukwepesha fake ID. Baada ya mwezi nikamchek akaniambia niseme natumia ID gani, nikamtajia ID ya mshikaji mmoja humu hanaga makuu. Akanikatalia hajawahi kumpa namba yake. Akaacha kupokea simu