Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

Ha ha ha ha pale garini ulipofeli kumaliza nilitaka kukucheka....ila yote heri....safari za ujana hizo....
 
Ulikua chuo inakuaje uliacha bus likuache, ungekua secondary sawa, chuo mkuu? Hukuweka dhamira ya kweli
 
Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2012
alright alright hiki kisa kilitokea 2012 ok!
Kwenye jukwaa hilo la fashen na urembo nilipata kuzoeana na binti flani kupitia maada kadha na kadha
lakini we mzee inaonekana umejoin jf 2020 na navyojua huwez chat na mtu humu kama sio member, oterwise umetuletea kisa na backup account.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ