Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

Member since 2020 march 30
Kabla ya kuwa na hii Id mpya ya "Dudu Jeupe" nliwahi kuwa member humu ila kwa jina lengine ila niliichoka nikatengeneza hii mpya, katika maisha yangu ya humu Jf hii ni Id yangu ya tatu
 
alright alright hiki kisa kilitokea 2012 ok!

lakini we mzee inaonekana umejoin jf 2020 na navyojua huwez chat na mtu humu kama sio member, oterwise umetuletea kisa na backup account.
Kabla ya kuwa na hii Id mpya ya "Dudu Jeupe" nliwahi kuwa member humu ila kwa jina lengine ila niliichoka nikatengeneza hii mpya, katika maisha yangu ya humu Jf hii ni Id yangu ya tatu
 
Kabla ya kuwa na hii Id mpya ya "Dudu Jeupe" nliwahi kuwa member humu ila kwa jina lengine ila niliichoka nikatengeneza hii mpya, katika maisha yangu ya humu Jf hii ni Id yangu ya tatu
hapo sawa mkuu
 
Vijana mnagegeda bhana any way ni wakati wenu ...hata sisi tulipita huko
Kama nyie tumewala sana hizi chali za kishua ..
 
Yani ulipo kosea, ni pale uliposema siku ya kwanza mechi iliahirishwa,
It means hukuitoa bikra, imekua vip mlipokutana mala ya pili ukaingiza kirahis na kupiga mabao unavyojitakia ????

Hapo ndipo mwandishi umefeli
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Jf banah watu mnajipa uhusika wenyewe kwenye stori za wenzenu
 
Na hivi ndivyo viwanda tulivyonavyo mheshimiwa raisi, tunajivunia kweri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…