Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!


Wacha wabishe ila ukweli umeusema na umekua mchungu kwa wakatoliki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
 
Hivi mods mmelala wapi mnaacha saver ijae kwa huu upuuzi wa huyu bwana kondoo

Moderators wa JamiiForums bahati nzuri siyo Wapumbavu kama Wewe na Uzi huu upo na utaendelea kuwepo kwani una Faida Kubwa Kifikra, Kiudadavuzi na Kiimani vile vile.

Unachonishangaza umeshajua kabisa Uzi huu hujaupenda ( japo Ulishoboka Kuufungua na Kuusoma wote ) lakini bado tu kila mara Unaufungua na Kuchungulia Comments za Wachangiaji.

Hii ni dalili tosha kuwa ni lazima tu iwe isiwe utakuwa na Matatizo makubwa sana ya Akili na wasipokuwahi unaweza hata Kufanya Tukio baya hata la Kusukuma Ukuta wa Berlin au Kuokota Kuni ukiwa kama Mtoto wa Kiume.

Sasa hivi Uzi umefika Ukurasa wa 18 unaitafuta wa 20 huku Comments za Members wanaokuzidi Akili ( ukiondoa yako tu Wewe Mpumbavu Mmoja na Mwendawazimu Wewe ) zikifikia #377 na bado Watu wanaendelea tu Kutiririka na Kuserereka.
 
Weka akiba ya maneno siku akija mkristo wa madhehebu mengine kwa nafac mbili za juu usije badilisha maneno yako

Tanzania akipatikana Rais Mkristo ni lazima tu atokee Roman Catholic kwani ndilo Dhehebu lililobarikiwa sana na Mwenyezi Mungu halafu ndilo lenye Waumini very Intelligent ( Brainiac ) si tu Tanzania bali na duniani kote tu.
 
Acheni ubaguzi wa kidini. Kila mtu mwenye sifa za kuwa rais au Mamamu wa Rais au uongozi wowote anaruhusiwa kugombea na kuchaguliwa

Akiwa Mkristo ni lazima awe Roman Catholic na akitokea katika Madhehebu mengine ya Kikristo cha Moto atakiona kwani atapakimbia Mwenyewe Ikulu.
 

Asiyekubali kuwa Kanisa Katoliki ndiyo Dhehebu Bora na lina Watu makini kuliko Madhehebu mengine yote ya Kikristo nchini Tanzania na duniani basi huyo atakuwa na Matatizo makubwa ya Ubongo ( Akili ) na anatakiwa awahi upesi Matibabu yake. Heko mno Ndugu.
 

Sijui kwanini Watu bado hawataki Kunielewa Generalist ninaposema ( tena kwa Kujiamini ) kabisa kuwa Makamu wa Rais Dkt. Mpango ni Mkatoliki ( Dhehebu langu pia ) Watu tuliobarikiwa hasa Vichwani ndiyo maana Roman Catholic imeishika ( imeitawala ) vyema dunia hii.
 
kanisa katoliki, nilichomaanisha, lipo very liberal sio conservative, lakini sijamaanisha kwamba doctrine zao ni sahihi. kiukweli, doctrine zenu mzee ni za uongo na haziendani na imani ya Yesu Kristo ya wokovu. mnatakiwa kuokoka, lakini kidunia mnafanya mengi, ila kiufalme wa mbinguni mnapeleka watu motoni badala ya mbinguni. sijakusifu bure mzee.
 
Ndiyo nini hiki tena..wote hao wana amini katika Kristo na wanatumia Biblia.
 
Kwenye katiba mambo ya rais awe dini gani halipo ila ki uhalisia nakubaliana na mtoa mada kwa kiasi fulani.

Tangu Uhuru marais wamekuwa wakatoliki na waislam tu. Dhehebu lingine la kikristo atapigwa vita hata hutajua inatokea wapi mfano mzuri ni Lowasa sasa utasikia wanasema ile ilikuwa ajali ya kisiasa. Ila iliundwa tangu Kikwete alipomchagua kuwa waziri mkuu, wakawagombanisha na hadi kuwa maadui wakubwa hadi leo sina uhakika ila ndio linavyoonekana.

Kuna ukweli usioweza kudhibitishwa ila kwa jicho la pili laweza kuwa kweli.
 
When the time is right..atapatikana rais hata anayeamini dini asili..usiogope sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijakuelewa

Mpango ni mkatoliki? Nimesikia ni Anglican..

Au Mpango leo leo kaongea akiwa kanisa la kikatoliki??
Mkuu!Hujui Anglican ana heshimiwa sana na katoliki?kisa ni kuwa Askofu wa kikatoliki alioa ndio uanglikana ukaanzia hapo!Askofu anaheshima kuliko padri martin luther!!
 
Kweli wakatolik ni hatari!Lowasa hatasahau aiseh!!Kikwete makam wake mwislam !!wakategemea waziri mkuu atakua mkatoliki wao wakatia Mlutheri Lowasa!kweli hakudumu Dk. slaa akamuandama kikwete hadi Lowasa akang'oka kwa mgongo wa zito!!!
 
Kweli wakatolik ni hatari!Lowasa hatasahau aiseh!!Kikwete makam wake mwislam !!wakategemea waziri mkuu atakua mkatoliki wao wakatia Mlutheri Lowasa!kweli hakudumu Dk. slaa akamuandama kikwete hadi Lowasa akang'oka kwa mgongo wa zito!!!
Mzee malecela alikua na sifa kumzidi mkapa 1995,wakamsingizia kasilimu,anaitwa jafari,akaukosa urais,utadhani kikatiba mtu akisilimu hafai kuwa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…