Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Ndugu hakuna ugumu wowote wa uchaguzi nchi hii haitokwenda kwa mpinzani. Ukichaguliwa na CCM wewe ni Rais issue ya uchaguzi halikuwepo kabisa na wala halitokaa liwepo kiasi cha kuinyima usingizi CCM.
 
Ndugu hakuna ugumu wowote wa uchaguzi nchi hii haitokwenda kwa mpinzani. Ukichaguliwa na CCM wewe ni Rais issue ya uchaguzi halikuwepo kabisa na wala halitokaa liwepo kiasi cha kuinyima usingizi CCM.
Ccm siyo ya kushinda uchaguzi kwa tofauti ya 2-4,%,uchaguzi wa 2015 ulikua ngumu,wanaiba lakini siyo kirahisi Kama unavodhani,unadhani angekua membe anagombea ccm ugumu ungekuaje na kabila lake dogo!!!?...magu akiongea kisukuma jukwaani,tabora,shinyanga,geita,simiyu,mwanza na majirani kote wanamuona mwenzao,hicho ni kilainishi tosha
 
Watu very Intelligent and well Informed kama hivi Wewe mpo wachache sana hapa JamiiForums Ndugu. Heko.
Na tena vatican wanajua fedha sio chochote wala haina thamani yoyote!!kuna wakati unakuja ambao fedha haitotumika tena Dhahabu itatumika badala ya fedha!!!Vatican imejiandaa kwa nyakati hizo!!!
 
Martin Luther senior aliwamaliza na urafi wakanisa letu pendwa katolic
 
Ndio maana taifa limekuwa la kijinga, linaabudu masanamu ie mwenge
 
Watu wanamahesabu marefu🤔
 
Orodhesha maRais na makamu wao wote walioongoza Tz na madhehebu yao kuthibitisha usemayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…