Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 2,166
- 5,600
Akili za mbogamboga 😂😂Malaika wanatupenda sana CCM ndio maana bado tupo madarakani.
Akili za mbogamboga 😂😂Malaika wanatupenda sana CCM ndio maana bado tupo madarakani.
Mie leo malaika wamekuja saa tisa usiku wamegonga mlango kuniamshaa..........
Ndio maana Wanawagaia hadi Bunduki za kuulia mashetani ili Malaika wenzao muishi kwa raha kwa kuyakanyaga mashetani nchi nzima.Malaika wanatupenda sana CCM ndio maana bado tupo madarakani.
Tunawaelekeza tu namna ya kuishi vizuri.Ndio maana Wanawagaia hadi Bunduki za kuulia mashetani ili Malaika wenzao muishi kwa raha kwa kuyakanyaga mashetani nchi nzima.
Poa familiaSawa dugu yangu.
Maajabu leo umepoa hivi, kuna siku mpaka nilikukimbia.. umepatwa na nini mkuu? hatujakuzoea hivi!🫢Sikuzidi wewe.
Hawezi kuwa!Walokole bwana
Kumbe nawe n mlokole?Hawezi kuwa!
Tena pure🙂Kumbe nawe n mlokole?
Nimecheki mzee nimekujibu tayar bwasheeKuna notes nilikua naomba kama unazo bwashee chek pm