Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,656
- 9,074
Hongera sana kwa kuguswa na Malaika.
Kaguswa na malaikaMaajabu leo umepoa hivi, kuna siku mpaka nilikukimbia.. umepatwa na nini mkuu? hatujakuzoea hivi!🫢
kweli bwana ana jibu kwa moto!Kaguswa na malaika
Kwenye bega 😁wapi?
Au umezidisha joints mkuu?Amina.
kweli Mungu yupo na anajibu maombi, jamaa alikuwa akiinama kwenye keyboad yake hutoboi!Kwenye bega 😁
Huyo alikuwa shetani ukadhani ni malaikaNiliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari
Paulo kutoka kuwa muuaji hadi kuwa muhubiri, ilikuwa siku mojab 😁kweli Mungu yupo na anajibu maombi, jamaa alikuwa akiinama kwenye keyboad yake hutoboi!
kwakweli mtumishi, halafu wewe mbona umepiga kimya sana, au unafkii sijakugundua?Paulo kutoka kuwa muuaji hadi kuwa muhubiri, ilikuwa siku mojab 😁
Huenda na mkuu hapo mguso mmoja tu umetosha kummbadirisha
Nje ya mada, unapiga hivo vitu Mkuu? au uliamua kutufokea tu kuweka mapepo wachafu mbali mana naskiaga hawasogeagi kwa mentalikweli Mungu yupo na anajibu maombi, jamaa alikuwa akiinama kwenye keyboad yake hutoboi!
Nayo hii n thread tyr 😀😄😀Anajiamulia vitu.
mie nipo nahubiri stand ya nyegezi hapa . karibu kwa huduma mkuukwakweli mtumishi, halafu wewe mbona umepiga kimya sana, au unafkii sijakugundua?
Kamaliza apo mtu wa system huyuNayo hii n thread tyr 😀😄😀
Vitu vipi mkuu? 😅Nje ya mada, unapiga hivo vitu Mkuu? au uliamua kutufokea tu kuweka mapepo wachafu mbali mana naskiaga hawasogeagi kwa mentali
Maccm bana.Niliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari
Huna lolote, siku hizi naona sialikwi kahawa bana!mie nipo nahubiri stand ya nyegezi hapa . karibu kwa huduma mkuu