Akili za mbogamboga ππMalaika wanatupenda sana CCM ndio maana bado tupo madarakani.
Mie leo malaika wamekuja saa tisa usiku wamegonga mlango kuniamshaa..........
Ndio maana Wanawagaia hadi Bunduki za kuulia mashetani ili Malaika wenzao muishi kwa raha kwa kuyakanyaga mashetani nchi nzima.Malaika wanatupenda sana CCM ndio maana bado tupo madarakani.
Tunawaelekeza tu namna ya kuishi vizuri.Ndio maana Wanawagaia hadi Bunduki za kuulia mashetani ili Malaika wenzao muishi kwa raha kwa kuyakanyaga mashetani nchi nzima.
Poa familiaSawa dugu yangu.
Maajabu leo umepoa hivi, kuna siku mpaka nilikukimbia.. umepatwa na nini mkuu? hatujakuzoea hivi!π«’Sikuzidi wewe.
Hawezi kuwa!Walokole bwana
Kumbe nawe n mlokole?Hawezi kuwa!
Tena pureπKumbe nawe n mlokole?
Nimecheki mzee nimekujibu tayar bwasheeKuna notes nilikua naomba kama unazo bwashee chek pm