Niliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari

kweli Mungu yupo na anajibu maombi, jamaa alikuwa akiinama kwenye keyboad yake hutoboi!
Paulo kutoka kuwa muuaji hadi kuwa muhubiri, ilikuwa siku mojab 😁
Huenda na mkuu hapo mguso mmoja tu umetosha kummbadirisha
 
Paulo kutoka kuwa muuaji hadi kuwa muhubiri, ilikuwa siku mojab 😁
Huenda na mkuu hapo mguso mmoja tu umetosha kummbadirisha
kwakweli mtumishi, halafu wewe mbona umepiga kimya sana, au unafkii sijakugundua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…