Niliwahi kusikia umeme wa chooni una nguvu, lakini hadi leo hakuna mwanasayansi hata mmoja aliyewahi kuvuna kinyesi tupate umeme

Niliwahi kusikia umeme wa chooni una nguvu, lakini hadi leo hakuna mwanasayansi hata mmoja aliyewahi kuvuna kinyesi tupate umeme

Tangu miaka ya zamani tuliaminishwa hivyo"

Kwamba karo la choo likiwa na kinyesi liwauwezo wa kuzalisha Megawatt za kutosha!

Sijui kwanini hadi Leo wanasayansi wapo kimya!

Yamkini tungekuwa na STIEGLERS ndogo ndogo kila mtaa!
Kinyesi kinatoa Biogas ambayo hutumika kuzalisha umeme, kupikia n.k.
Hata hapa Tanzania umeme huo unatumika nenda pale Baobab sekondari ukajionee
 
Tangu miaka ya zamani tuliaminishwa hivyo"

Kwamba karo la choo likiwa na kinyesi liwauwezo wa kuzalisha Megawatt za kutosha!

Sijui kwanini hadi Leo wanasayansi wapo kimya!

Yamkini tungekuwa na STIEGLERS ndogo ndogo kila mtaa!

Choo kina toa hewa ya methane kama ingeweza kuwa na utaratibu mzuri bila kuchanganya madawa mfano sabuni basi tungeweza kuzalisha gesi ndio maana bio ges za ng’ombe ushauri kutoweka sabuni,ili upate gesi ya methane kama ukiweka ilo betry lenye acidic au betry uchochea sana nguvu ya acidic kutoshindwa nguvu
Mfano shimo la choo kama likiwa wazi ukaweka bati au chuma basi tegemea kutafunwa na methane.
Nini ni methane

ni kampaundi ya kikemia katika kundi la hidrokaboni yenye fomula CH₄ maanake molekuli yake ina atomi 1 ya kaboni na atomi 4 za hidrojeni. Huhesabiwa kati ya alkani ikiwa ni sehemu kubwa ya mchanganyiko wa kawaida ya gesi asilia

IMG_2603.jpg

Mchanganyiko huo kitaalamu uleta
Hii
IMG_2604.png

IMG_2605.jpg

Wana zengo kazi kwenu
 
Ukweli ni kwamba kinyesi cha binadamu kinao uwezo wa kutengeneza umeme ,mbolea au nishati ya kupikia,ila under controlled circumstances pia utahitaji teknolojia ya hali ya juu kidogo ila utahitaji kupata biogas kutoka kwny kinyesi.

Usisahau pia Bill Gates miaka ya hivu karibuni alikuja na hiyo project Tz ya kubadili vyoo viwe na manufaa kwa kupata mbolea kutoka kwny vyoo vya Afrika.😂😂😂😂😂
 
Ukweli ni kwamba kinyesi cha binadamu kinao uwezo wa kutengeneza umeme ,mbolea au nishati ya kupikia,ila under controlled circumstances pia utahitaji teknolojia ya hali ya juu kidogo ila utahitaji kupata biogas kutoka kwny kinyesi.

Usisahau pia Bill Gates miaka ya hivu karibuni alikuja na hiyo project Tz ya kubadili vyoo viwe na manufaa kwa kupata mbolea kutoka kwny vyoo vya Afrika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

IMG_2608.jpg

Kama ukiweka betri linaweza kuchavusha ile acid kuendelea kudumu kikemikali
 
Sasa kwani wewe si unakili...ya kufungua Kvant TU.. hata ya kuchamba mavi HUNA[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Bora mimi nina ya kufungulia K Vant kuliko wewe shapeless usiyeoleka
 
Hayo ya zamani siku hizi.magari yakipita juu ya madaraja lkn pia Wapita njia tu wanazalisha umeme wa kutosha kabisa kuendesha kiwanda.

Makelele ya watu nyumbani au skoni. Ndani ya gari ni umeme tosha
 
Tangu miaka ya zamani tuliaminishwa hivyo"

Kwamba karo la choo likiwa na kinyesi liwauwezo wa kuzalisha Megawatt za kutosha!

Sijui kwanini hadi Leo wanasayansi wapo kimya!

Yamkini tungekuwa na STIEGLERS ndogo ndogo kila mtaa!
Wapo wanaovuna labda wewe hujasikia
 
Vinyes vya watu wa zaman ndo vilikua na uwezo mkubwa wa kugenerate electricity .....sio vya vijana wa zama hiz mnakula mavyakula ya ovyo sijui piza . chips ,baga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu miaka ya zamani tuliaminishwa hivyo"

Kwamba karo la choo likiwa na kinyesi liwauwezo wa kuzalisha Megawatt za kutosha!

Sijui kwanini hadi Leo wanasayansi wapo kimya!

Yamkini tungekuwa na STIEGLERS ndogo ndogo kila mtaa!
Mkuu si kila mtu ni basha...wengi wetu hatuna mazoea ya kucheza na mavi kama mabasha wapendao kunusa vinyesi vya wanaume wenzao. Wewe unapenda kucheza na mavi? Kama ni ndiyo basi tafuta hiyo fursa ya kucheza na kinyesi.
 
Vinyes vya watu wa zaman ndo vilikua na uwezo mkubwa wa kugenerate electricity .....sio vya vijana wa zama hiz mnakula mavyakula ya ovyo sijui piza . chips ,baga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakijamba ushuzi unanukia harufu ya perfume/ubani
 
Back
Top Bottom