Kinyesi kinatoa Biogas ambayo hutumika kuzalisha umeme, kupikia n.k.Tangu miaka ya zamani tuliaminishwa hivyo"
Kwamba karo la choo likiwa na kinyesi liwauwezo wa kuzalisha Megawatt za kutosha!
Sijui kwanini hadi Leo wanasayansi wapo kimya!
Yamkini tungekuwa na STIEGLERS ndogo ndogo kila mtaa!
Hata hapa Tanzania umeme huo unatumika nenda pale Baobab sekondari ukajionee