mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani.
Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of specialization kama MD walivyo, kunaambao wamebobea kwenye dawa za kufuta kesi, dawa za mapenzi, biashara nk
Huyu wa kwagu nadhani alikuwa specialist wa dawa za mapenzi.
Tunguli zikapigwa pale kuku akachinjwa nikapewa dawa za kuoga na kufisha zingine za kufukia eneo la biashara
Kichokujw kutokea, wateja hawakuongezeka ila sasa wanawake walikuwa wakiha sana ofisini kujizongozesha. Ofisi ikageuka danguro, nilitembeza moto hatari mpaka nikafirisika.
Nilivyomfuata mganga akaniambia dawa ilikuwa sawa ola nilitakiwa kubadili biashara niuze bidhaa kwa ajili ya wanawake na sio hizo spea za pikipiki, maana wale wanawake wangekuta bidhaa zinazowahusu wangenunua na kama ningeacha umalayer ningefanikiwa.
Basi ikawa haina maana duka likafa ila nilichakata sana pisi, simlaumu sana mganga yule, umalayer uliniponza