Niliwahi kwenda kwa mganga kuomba dawa ya biashara haikusaidia, ikanipa mvuto wa wanawake. Niliwachakata mpaka nikafilisika

Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani.

Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of specialization kama MD walivyo, kunaambao wamebobea kwenye dawa za kufuta kesi, dawa za mapenzi, biashara nk

Huyu wa kwagu nadhani alikuwa specialist wa dawa za mapenzi.

Tunguli zikapigwa pale kuku akachinjwa nikapewa dawa za kuoga na kufisha zingine za kufukia eneo la biashara

Kichokujw kutokea, wateja hawakuongezeka ila sasa wanawake walikuwa wakiha sana ofisini kujizongozesha. Ofisi ikageuka danguro, nilitembeza moto hatari mpaka nikafirisika.

Nilivyomfuata mganga akaniambia dawa ilikuwa sawa ola nilitakiwa kubadili biashara niuze bidhaa kwa ajili ya wanawake na sio hizo spea za pikipiki, maana wale wanawake wangekuta bidhaa zinazowahusu wangenunua na kama ningeacha umalayer ningefanikiwa.

Basi ikawa haina maana duka likafa ila nilichakata sana pisi, simlaumu sana mganga yule, umalayer uliniponza
Mshahara wa dhambi ni mauti ndugu yangu acha yakupate
 
Kwenye biashara, (ujasiriamali), kuna sifa unazotakiwa kuwanazo,siyo kila mtu anazo Bila kuzijua na kuziishi huwezi kufanya biashara
 
Sasa Mr yani unaenda kuchukua dawa ya biashara tanga,huko utapatiwa dawa za mapenzi uwe unauliza tukuoneshe chimbo zilipo
Mimi nahitaji Dawa ya mapenzi wakuu(kumpata kila manzi ninaye mtaka)
Nimechoka kutongoza jamani
Tangia mwaka 2021 cjawahi kuwa na mwanamke. Zaidi ya one night stand na kula hasara za maehela
 
Ilinitokea 2019. Yule mama alichanja dawa zenye mchanganyiko na asali.

Biashara haikuwa na tofauti na mwanzo ila wanawake niliwala sana. Ila wa kwangu aliniambia kabisa kuwa nisiwaendekeze wanawake maana hizo dawa zitanipa mvuto kwa wanawake. Huyo mganga alikuwa mwanamke pia. Nilitoa 100,000/ na shuka yangu ikabaki huko ma**na zake yule mama.
Baada ya kuona nimeliwa lako 1 lakini wateja hawajaongezeka kama nilivyotegemea ikabidi niingie chimbo kusaka dawa ya kuvuta wateja.

Nilifanikiwa Kujua 1 ambyo inanisaidia sana hadi SASA. Juzi Kati kuna member nilimpa ofa ya hiyo SAYANSI- nikamwita inbox, sijui alihisi nataka kumtapeli akalala mbele. Nilichojifunza USITOE USHAURI AU MSAADA KAMA HUJAOMBWA KUFANYA HIVYO.

NITAKUFA NAYO.
Uliliwa lako moja kwami wewe ni Bambo?
 
Back
Top Bottom