Niliwahi kwenda kwa mganga kuomba dawa ya biashara haikusaidia, ikanipa mvuto wa wanawake. Niliwachakata mpaka nikafilisika

Mshahara wa dhambi ni mauti ndugu yangu acha yakupate
 
Kwenye biashara, (ujasiriamali), kuna sifa unazotakiwa kuwanazo,siyo kila mtu anazo Bila kuzijua na kuziishi huwezi kufanya biashara
 
Sasa Mr yani unaenda kuchukua dawa ya biashara tanga,huko utapatiwa dawa za mapenzi uwe unauliza tukuoneshe chimbo zilipo
Mimi nahitaji Dawa ya mapenzi wakuu(kumpata kila manzi ninaye mtaka)
Nimechoka kutongoza jamani
Tangia mwaka 2021 cjawahi kuwa na mwanamke. Zaidi ya one night stand na kula hasara za maehela
 
Uliliwa lako moja kwami wewe ni Bambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…