GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijawahi kuwaona wa Uganda au Kenya au hata wa Rwanda wakifa Kizembe kama wa Mataifa mengine hopeless duniani.Wanajeshi kufa vitani (walinda amani ama wapiganaji) ni jambo la kawaida
Kawaida kitu ambacho ukifa ni kwamba Kila kitu huna mpaka mke wako unagongewa kwa mambo ya kipuuzi uhai ni one chanceWanajeshi kufa vitani (walinda amani ama wapiganaji) ni jambo la kawaida
Kenya hawa hawa wanao dondoshwa kila siku hapo malindi, mandera na garissa au kuna KDF wengine???Sijawahi kuwaona wa Uganda au Kenya au hata wa Rwanda wakifa Kizembe kama wa Mataifa mengine hopeless duniani.
Namba M hawajawahi Kukosea wakiamu lao.Kenya hawa hawa wanao dondoshwa kila siku hapo malindi, mandera na garissa au kuna KDF wengine???
Hilo Jeshi lililouwawa nao na Wao mwaka jana walipata wapi ruhusa ya Kuwauwa kwa Silaha Kali hao / hawa Waasi?Tatizo ni kanuni ya kulinda amani hairuhusu kupigana. Vikosi vya SADC vingeruhusiwa kupiga hao namba M siku nyingi tungeishawasahau kwa kichapo ambacho wangekipata
aisee hivi hii nchi bado inawatu kama wewemama wa shoka na serikali makini haigopi magaidi siku zote tumekua tukiwakomboa na kuwapatia uhuru mataifa mengi toka enzi za mabeberu
kama hawaruhusiwi kupigana wanabeba bunduki za kazi ganiTatizo ni kanuni ya kulinda amani hairuhusu kupigana. Vikosi vya SADC vingeruhusiwa kupiga hao namba M siku nyingi tungeishawasahau kwa kichapo ambacho wangekipata
Mkuu unategemea lkweli hili Swali ujibiwe vyema na Raia wengi wenye Upumbavu mwingi na Ushamba wa hiyo nchi?kama hawaruhusiwi kupigana wanabeba bunduki za kazi gani
Watu wanagongewa wake zao wakiwa bado hai, sembuse ya aliyekufa!!Kawaida kitu ambacho ukifa ni kwamba Kila kitu huna mpaka mke wako unagongewa kwa mambo ya kipuuzi uhai ni one chance
Vikosi vya Samidrc vinaruhusiwa kutumia nguvu dhidi ya waasi.Tatizo ni kanuni ya kulinda amani hairuhusu kupigana. Vikosi vya SADC vingeruhusiwa kupiga hao namba M siku nyingi tungeishawasahau kwa kichapo ambacho wangekipata
Ila yote kwa yote wale M23 wamekufa kama kumbikumbi zile BM zimewapukutisha sana, kwenye mapigano kupoteza askari ni kawaida, M23 wapepukutika na wataendelea, bana Mukongo hoyee.Sijawahi kuwaona wa Uganda au Kenya au hata wa Rwanda wakifa Kizembe kama wa Mataifa mengine hopeless duniani.
Wadanganye Wapumbavu wenzako. Nendeni Kesho pale Uwanjani Kwao Kiwalani mkapokee Boksi zao zingine 9 sawa?Ila yote kwa yote wale M23 wamekufa kama kumbikumbi zile BM zimewapukutisha sana, kwenye mapigano kupoteza askari ni kawaida, M23 wapepukutika na wataendelea, bana Mukongo hoyee.
Nawe mpumba pia, ila mmekufa wengi sana kule, BM zinawamaliza, hebu waulize wanywaranda wenzako.Wadanganye Wapumbavu wenzako. Nendeni Kesho pale Uwanjani Kwao Kiwalani mkapokee Maboksi yao mengine 9 Ok?
Ebu wataje? Mbona historia inawapumbaza namna hiyo?mama wa shoka na serikali makini haigopi magaidi siku zote tumekua tukiwakomboa na kuwapatia uhuru mataifa mengi toka enzi za mabeberu