maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Another option ni kureview mpaka wa DRC na Rwanda na kurudisha mpaka uliokuwepo miaka 200 iliyopita kabla ya kuja kwa wakoloni. Likifanyika hilo vita itakuwa historia. Wazungu waligawa hivyo walivyogawa kuweka ugomvi na vita ili wauze silaha. By the way inabidi tuwe na viwanda vyetu vya silaha ili kuondoa utegemezi kwa wazungu ambao Wana interest na kuanzisha vita AfrikaHongera M23 msikubali ujinga wa SADC. Ardhi ni ya kwenu kwanini mfukuzwe. Banyamulenge ni wacongo kwanini wafukuzwe kwenye ardhi yao kisa Wana asili ya kitusi. Very stupid SADC