Niliwaonya hapa hapa kuwa Kawaondoeni Ndugu zenu kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola kwani 'Namba M' hawana Masihara mkanipuuza

Niliwaonya hapa hapa kuwa Kawaondoeni Ndugu zenu kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola kwani 'Namba M' hawana Masihara mkanipuuza

Jambo la kawaida. Hata wakati wanaondoka walijua kuna hiyo risk maana sio mara ya kwanza.

Kikubwa lengo lililowapeleka litimie warudi. Na uwezo wao hatuna shaka nao watafanikiwa 100%.
 
Acha uongo, wakati M23 wanalalamika JWTZ imewashambulia mlifurahia, ila baada ya kutunguliwa mmeanza kuhamisha magoli. Viva M23 lindeni ardhi yenu dhidi ya Intarahamwe.
Namtafua Kiongozi wao M23 nimpe Zawadi na Mauwa yake kwa Kazi nzuri na ya Kutukuka kabisa. Tukionya hawasikii tu.
 
Hongera M23 msikubali ujinga wa SADC. Ardhi ni ya kwenu kwanini mfukuzwe. Banyamulenge ni wacongo kwanini wafukuzwe kwenye ardhi yao kisa Wana asili ya kitusi. Very stupid SADC
Ngoja niwapigie Simu M23 niwaulize je, na leo hawajanidondoshea Mazuzu wengine? Nilipoonya hapa nilipuuzwa mno tu.
 
Another option ni kureview mpaka wa DRC na Rwanda na kurudisha mpaka uliokuwepo miaka 200 iliyopita kabla ya kuja kwa wakoloni. Likifanyika hilo vita itakuwa historia. Wazungu waligawa hivyo walivyogawa kuweka ugomvi na vita ili wauze silaha. By the way inabidi tuwe na viwanda vyetu vya silaha ili kuondoa utegemezi kwa wazungu ambao Wana interest na kuanzisha vita Afrika
Sikujui ila kwa hiki Ulichokiandika hapa ni Jibu tosha Kwangu kuwa You're very Intelligent Mkuu.
 
Ndo wanalipwa kufanya izo kaz wacha watumikie ujira wao
Walizoea kutembea ma mademu za watu na kupiga watu kitaa sasa wacha wakapambane na majukumu yao labda akili zitawaingia
Nakubaliana nawe 100% kwa hiki Ulichokiandika hapa Mkuu. Acha wadondoshwe tu na M23 had Wakome na Watuelewe.
 
Na baadhi ya wale ninaoongea nao kutoka kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola wanasema kuwa Walioondoka na Pumzi ya Moto siyo Watatu ila wako Tisa na huenda Wasafiri wengine wa Kuondoka na hawa Abiria Wazembe Watatu hadi Kenda ( Tisa ) tunaotamba nao Wakaongezeka.

Shikamooni sana Namba M na labda sasa kuna Wapuuzi fulani hivi wa nchi moja watakuwa wanafuata nisemayo Ok?
Ndugu yangu katika dunia ya sasa ustaaalabu na haki ni kitu cha kupewa kipao mbele , Kitu wanacho fanya Mishilini na tatu sio cha kupuuzia .

Kwahivyo uwepo wa jeshi kule DRC nipango mwema ambao unampendeza hata Mungu.

Msingi ni kwamba akili itumike vizuri kuwadhibiti wenye tamaa ya kuiba madini kule DRC kupitia PAUL na kupeleka ng'ambo.


Afrika ifike mahala tuwe wamoja tusiwaachie wakongo pekee
 
mzee ramadhan ni mtaalam wa nyota biashara mali bira kafara mausiano cheo nk 0682022727. WAtoto wa mjini hao
Screenshot_20240526_075054_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom