maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Another option ni kureview mpaka wa DRC na Rwanda na kurudisha mpaka uliokuwepo miaka 200 iliyopita kabla ya kuja kwa wakoloni. Likifanyika hilo vita itakuwa historia. Wazungu waligawa hivyo walivyogawa kuweka ugomvi na vita ili wauze silaha. By the way inabidi tuwe na viwanda vyetu vya silaha ili kuondoa utegemezi kwa wazungu ambao Wana interest na kuanzisha vita AfrikaHongera M23 msikubali ujinga wa SADC. Ardhi ni ya kwenu kwanini mfukuzwe. Banyamulenge ni wacongo kwanini wafukuzwe kwenye ardhi yao kisa Wana asili ya kitusi. Very stupid SADC
Halafu familia zao nani ataleaWanajeshi kufa vitani (walinda amani ama wapiganaji) ni jambo la kawaida
Yaani mzungu ategemee soko la Silaha afrika,Afrika sio wanunuzi wakubwa wa viwanda vya silaha Ulaya.Another option ni kureview mpaka wa DRC na Rwanda na kurudisha mpaka uliokuwepo miaka 200 iliyopita kabla ya kuja kwa wakoloni. Likifanyika hilo vita itakuwa historia. Wazungu waligawa hivyo walivyogawa kuweka ugomvi na vita ili wauze silaha. By the way inabidi tuwe na viwanda vyetu vya silaha ili kuondoa utegemezi kwa wazungu ambao Wana interest na kuanzisha vita Afrika
That is interest warNa kwann mapigano yawe ni Congo mashariki pekee kwenye mali na sio congo fasi ingine
Ni kweli viwanda vyote vya ulaya na Amerika wanatutegemea tununue kwao. Siyo silaha tu hata nguo, chanjo, dawa etc. by the way Mh. Magufuli alitaka tuanzishe viwanda vya dawa, chanjo etc sijui hili liliondoka naye?Yaani mzungu ategemee soko la Silaha afrika,Afrika sio wanunuzi wakubwa wa viwanda vya silaha Ulaya.
Pia kwann sisi tusikatae kuwa soko.
Maana wapumbavu wasio na akili ndio upigana,mbona hao wazungu wao hawapigani hovyo kama ng'ombe
Wewe ni fala fulani......naona unamuabudu huyo utapiamlo bila kujua hana lolote...jipe muda utajua hujui..Na baadhi ya wale ninaoongea nao kutoka kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola wanasema kuwa Walioondoka na Pumzi ya Moto siyo Watatu ila wako Tisa na huenda Wasafiri wengine wa Kuondoka na hawa Abiria Wazembe Watatu hadi Kenda ( Tisa ) tunaotamba nao Wakaongezeka.
Shikamooni sana Namba M na labda sasa kuna Wapuuzi fulani hivi wa nchi moja watakuwa wanafuata nisemayo Ok?
Sis ni kwa ajili ya malighafi ulaya na sio soko ni dogo sanaNi kweli viwanda vyote vya ulaya na Amerika wanatutegemea tununue kwao. Siyo silaha tu hata nguo, chanjo, dawa etc. by the way Mh. Magufuli alitaka tuanzishe viwanda vya dawa, chanjo etc sijui hili liliondoka naye?
Uzuri hatujawahi kujikomboa katika fikra zetu tunahitaji miaka 200 mbelemama wa shoka na serikali makini haigopi magaidi siku zote tumekua tukiwakomboa na kuwapatia uhuru mataifa mengi toka enzi za mabeberu
True ugomvi wa wanasiasa wawili unakufa wewe then baada ya mda wanapata huku watoto wao wako salama ulaya.That is interest war
Ndo maana huwa nasema Kama umekosa kazi ni vizuri ukafanya hata udalali kuliko kufa unawapambania wanasiasa.
Jamaa aliyekuwa Kati ya hao watatu namjua in out na baba yake ni muhadhiri wa chuo kikuu.
Unajua population ya afrika? Au ukiwa unauza nyama akija anayetaka kg 5 unatemana na wa kg 2? Ebu tuchangamshe akili kidogoSis ni kwa ajili ya malighafi ulaya na sio soko ni dogo sana
Population sio purchasing powerUnajua population ya afrika? Au ukiwa unauza nyama akija anayetaka kg 5 unatemana na wa kg 2? Ebu tuchangamshe akili kidogo
Huyu mzee vimemuua vingi sanaMagufuli alitaka tuanzishe viwanda vya dawa, chanjo etc sijui hili liliondoka naye?
Hapa unabwabwaja lakini ukiona vifua vyaio unalala kama mbuni😂😂😂Sijawahi kuwaona wa Uganda au Kenya au hata wa Rwanda wakifa Kizembe kama wa Mataifa mengine hopeless duniani.
Kujihami ikitokea wameshambuliwakama hawaruhusiwi kupigana wanabeba bunduki za kazi gani