Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
hamna connection yoyote hapo mzee.
sioni connection yoyote ya Babra kuitwa pisi na swala la yeye kusumbuliwa hapo Zenji.
By the way unazungumziaje kipigo cha paka mwizi tulichowatembezea jana??
By the way unazungumziaje kipigo cha paka mwizi tulichowatembezea jana??
una kichwa kigumu sana bro ,tukio limetokea juzi kabla ya mechi halafu mbona unahaha sana kwani waliomshambulia ni wa deportivo la utopolo?siku ya december 30 nilipoonya haya yatatokea ya CEO kudhalilishwa ulinikebehi sana sasa yametokea unajaribu kuandika pumba zakohamna connection yoyote hapo mzee.
By the way unazungumziaje kipigo cha paka mwizi tulichowatembezea jana??
kuna nyuzi nyingi sana kuhusu hilo,hapa naongelea usalama wa CEO wetuBy the way unazungumziaje kipigo cha paka mwizi tulichowatembezea jana??
itabidi uwe mlinzi wa Pisi ya MoINABIDI HANSPOPE ATAFUTIWE CHEO HAPO SIMBA WAHUSIKA WA SASA HIVI WAKO SO SOFT YAANI WALAINI KAMA MLENDA mnashindwa hata kumlinda CEO wenu anayedhalilishwa kutwa mitandaoni na ma redioni via makanjanja yaliyo kwenye pay roll?
maoni yako hayo ndugu....kina kaduguda wananiudhi sana ,vita hii ya sasa siyo ya kawaida wakishindwa kufatilia hili suala wahusika wakamatwe nitawadharau sanaitabidi uwe mlinzi wa Pisi ya Mo
hamna vita yoyote hapa,maoni yako hayo ndugu....kina kaduguda wananiudhi sana ,vita hii ya sasa siyo ya kawaida wakishindwa kufatilia hili suala wahusika wakamatwe nitawadharau sana
Anajua maana ya kushambuliwa Sana? Maana kwemye match alikuwepoBaada ya kina Francis Mhando wa Efm kumfanyia dhihaka Barbra na kumuita pisi kali chombo ya fundi wakihusisha maneno ya mtandaoni kuhusu mkude kusimamishwa kwamba alimtongoza nilianzisha uzi hapa na kulaumu sana wako walionisapoti wako waliodhihaki kama kawaida maana kwa Ta nzania mwanamke ni chombo cha starehe tena wako hadi wanawake walionicheka hapa jamvini na kuona naongea pumba.
Mwishoni nilimaliza ule uzi kuwaomba Simba wampe ulinzi barbara nikasema kuna siku atashikwa makalio na manyonyo hadharani, haya yametokea huko zanzibar sasa subirini tu siku wachambuzi wa utopolo watamuita kahaba malaya wakiwa hewani ndipo mtaamka sasa.
=======
Bosi Simba adai kushambuliwa Z’bar
Thursday January 14 2021
Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez
Summary
Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez juzi usiku alifanyiwa fujo katika Uwanja wa Amani mjini hapa, muda mfupi baada ya timu hiyo kumaliza kufanya mazoezi uwanjani hapo.
Advertisement
By Mwanahiba Richard
More by this Author
Unguja. Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez juzi usiku alifanyiwa fujo katika Uwanja wa Amani mjini hapa, muda mfupi baada ya timu hiyo kumaliza kufanya mazoezi uwanjani hapo.
Akizungumza na Mwananchi jana, Barbara alisema alifanyiwa fujo wakati akiswali swala ya Ishah saa mbili usiku katika uwanja huo, baada ya timu kuondoka.
“Wakati naswali walikuja watu wakaanza kunivuta, kunipiga na kuvuta mtandio wangu. Waliniumiza sana,” alisema mtendaji huyo aliyehusisha tukio hilo na mchezo wa fainali kati ya Simba na Yanga uliochezwa jana usiku.
Alisema baada ya tukio hilo aliripoti katika Kituo cha Polisi Ng’ambo alikofunguliwa jalada lenye namba NGB/RB 247/2021, ambapo watuhumiwa kadhaa walikamatwa na kuwekwa ndani usiku huohuo. Gazeti hili lilifika katika kituo hicho ambapo polisi walikiri kupokea malalamiko na kufungulia jalada la shambulio la mwili.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Awadhi Juma Haji alisema hana taarifa juu ya tukio hilo.
Chanzo: Mwananchi
Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo. Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini...www.jamiiforums.com
fungu limetoka kubwa sana ku demonise simba kwa kila hali kwenye media za makanjanja mmekula hela lakini kuweni na mipaka MTUNZIENI BARBRA HESHIMA YAKE KAMA MWANAMKE MSOMI, msitengeneze mazingira ya nchi hii kwamba Mwanamke ni malaya na hawezi kushika cheo kikubwa bila kulalwa.
Kuna msemo kwamba watu wanakuchukulia kwa jinsi unavyojichukulia.
Simba na Yanga zimeamua kuendesha taasisi zao kihuni, hivyo hata hao watangazaji watazichukulia kihuni hivyo hivyo.
Nimezungumzia recruitment criteria ya CEO hapo, ilikuwa ya kihuni.
Tukija kwenye tatizo la Mkude, unapotoa press release ya utovu wa nidhamu kwenye sports, unakuwa obliged kutaja kosa husika kwa uma. Otherwise angepewa adhabu kimya kimya.
Kutotaja kosa unatengeneza mazingira ya uma kujaza kosa wao wenyewe.
Acheni kujiendesha kihuni ili mpewe heshima stahili.
Hivi nafasi ya CEO aliipataje?
Kazi ilitangazwa?
Qualifications zilikuwa zipi?
Kuna applicants wengine aliopambana nao?
Unadhani selection yake iliangalia nini ukilinganisha na interviewees wengine (kama walikuwepo)?
Ukiyajibu hayo maswali, utaelewa kwamba hiyo nafasi kaipata kwa sababu ya yeye kuwa na ukaribu na Fundi.
Simba walikuwa very unprofessional kwenye recruitment ya hiyo post ya CEO, na haya ndiyo matokeo yake.
😅 Au siyo, unataka Mkuu njaakalihatari ateuliwe awe personal bodyguard wa Madam CEO.itabidi uwe mlinzi wa Pisi ya Mo
hahahahahaha sijui hata kurusha teke lakini kutokana na jinsi nilivyo na njaa itabidi tu nichukue hiyo kazi au hata wakinipa kazi ya kukusanya mapaka meusi ya kutupeleka robo fainali ya CAF poa tu😅 Au siyo, unataka Mkuu njaakalihatari ateuliwe awe a personal bodyguard wa Madam CEO.
Kazi ya kulinda pisi kali kama ile, haitachukua muda kabla ya mlinzi naye kusimamishwa kazi kwa utovu wa nidhamu.
Culture yetu bado hovyo sana aisee
Bado miaka hii,kuna gang motivated violence against women?
I still wonder
Halafu imetokea Zbar wanaposema kuna dini na maadili makali sana?
Dini ni matatizo sana
waoooh just waooohhh hii comment inazidi kuipa nguvu hoja yangu natumai wahusika wa simba watakuwa serious this timeaachee ushezi huyooo, ina maana hajui msikiti ulipo?, nani alimwambia anzeee kubinua binua vi -makalio yakee au alikuwa anawatega wa-zenji? mwache apate alicho kuwa anakitafuta
Ni dhahili una jambo lako na huyo CEO.sijaingilia popote nimekumbusha uzi nilioweka tarehe 30 december mwaka jana nilwaambia simba wampe ulinzi huyu dada mambo yamebadilika sana huko maredioni kuna makanjanja yana chuki za waziwazi na simba
na huyu dada ana juhudi sana kuna kitu anataku kuki prove kuna watu hawapendi na ule mfumo dume ulio katika jamii na wengine kama kina kigogo 14 wenye chuki zao na Mo dewji mahasira yao yanamuangukia huyu dada
lipi tena mkuu nakubali determination yake na mimi ni shabiki wa simba na vilevile naishi kwenye jamiii ya kitanzania yenye mfumo dume iliyojaa ma pervets yanyooona wanawake kama pisi kali ambao hatta wakibakwa utasikia kwa nini ulivaa suruali ya kubana ukawatamanishaNi dhahili una jambo lako na huyo CEO.