Niliwaonya Simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara mkapuuza, ameshambuliwa Z'bar

Niliwaonya Simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara mkapuuza, ameshambuliwa Z'bar

So sad kwa kweli lol [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hanspope inabidi hata aundiwe ka cheo chochote unakumbuka kuna kipindi Rage alishawapiga stop redio one kutangaza habari yotote ya simba ?sasa kipindi kile alikuwa ni maulid kitenge tu anavuruga,leo ni maknjanja karibu yote na redio ziko nyingi ,huko wasafi fm kitenge ndo kubwa lao hata ushindi wa platnum ulimuuma sana,angekuwa rage yupo ange deal nao vizuri ila hawa kina kaduguda hata kumlinda CEO ni shida
 
kwanza nasikia alikuwa ame violate 'dress code' ya Zanzibar, yeye ni nani adi ajaribu Imani za watu? hivyo vi-min na vi body vyake avivalie uko uko alipotoka………...
 
kwanza nasikia alikuwa ame violate 'dress code' ya Zanzibar, yeye ni nani adi ajaribu Imani za watu? hivyo vi-min na vi body vyake avivalie uko uko alipotoka………...
naskia alikuwa anamgombania mo na kimada mwingine...hiyo ndiyo hasa sababu nimeanzisha huu uzi na ule uzi wa tarehe 30..spin doctors watahalisha mengi sana kuna siku atakuja kubakwa halafu utasikia kwa nini alivaa suruali ya kubana au machakato wake wa kupata u ceo uliendajeendaje?
Ukweli ni kwamba hali siyo nzuri kwenye suala la propaganda anajitahidi hajj manara tu ila makanjanja ya media yamtamsumbua sana huyu dada bado mbinu za nje wa uwanja kama hizi za kudhalilishwa halafu TOP brass ya simba imekaa kindezi ndezi tu
 
hahah manyau-nyau fc mmepanic mnoo baada ya kupata kipigo cha paka mwizi.
Wewe kuwa mtoto wa ka-h-a-b-a haiusiani na ushindi wa utopolo!! Wewe una brain disorder, maana umeshuudia udhalilishaji aliokuwa anafanyiwa mzazi wa kike!!, Hivyo unaona ni haki mwanamke kudhslilishwa.
 
manyau-nyau Fc hebu kuweni wavumilivu, kama pisi ya Mo imeshambuliwa aende polisi wahusika wakamatwe.

By the way unazungumziaje kipigo cha paka mwizi tulichowapa jana??
 
Hanspope inabidi hata aundiwe ka cheo chochote unakumbuka kuna kipindi Rage alishawapiga stop redio one kutangaza habari yotote ya simba ?sasa kipindi kile alikuwa ni maulid kitenge tu anavuruga,leo ni maknjanja karibu yote na redio ziko nyingi ,huko wasafi fm kitenge ndo kubwa lao hata ushindi wa platnum ulimuuma sana,angekuwa rage yupo ange deal nao vizuri ila hawa kina kaduguda hata kumlinda CEO ni shida
Huenda wamejifunza, wakati mwingine watachukua hatua.
 
Subiri dhihaka zije ataitwa malaya muda si mrefu, ila nilionya nikaambiwa najipendekeza

Kwa jinsi chuki ilivyo kubwa kwa simba haswa kwa wachambuzi uchwara wa utopolo waliojaa maredioni tutasikia makubwa sana na ni mfumo dume tu unaosumbua vichwa vya watu.
Chombo ya kanali
 
Hivi kwani huyu ana tofauti gani na mademu zangu, si chombo cha starehe kama wanawake wengine tu,
Mwanamke ni mwanamke tu ilimradi anakojoa amechuchumaa.
 
Wachambuzi hasa wa EFM wamekaa kishubwada sana, wanaweza maliza dakika tatu wanajadili umbea tu wakiongozwa na kile kisada sijui kinaitwa Tunu, siku hizi siwasikilizi tena.
Hata Wasafi FM nao wakiongozwa na yule Kijola
 
Hanspope inabidi hata aundiwe ka cheo chochote unakumbuka kuna kipindi Rage alishawapiga stop redio one kutangaza habari yotote ya simba ?sasa kipindi kile alikuwa ni maulid kitenge tu anavuruga,leo ni maknjanja karibu yote na redio ziko nyingi ,huko wasafi fm kitenge ndo kubwa lao hata ushindi wa platnum ulimuuma sana,angekuwa rage yupo ange deal nao vizuri ila hawa kina kaduguda hata kumlinda CEO ni shida
Duuuuh hatari sana kwa kweli.
 
Natabiri kwamba muda siyo mrefu mmojawapo wa wale wachambuzi uchwara walio kwenye payroll ya kuitukana simba atamdhalilisha hewani live lakini kwa kuwa uongozi wa simba wa sasa unakosa watu kama kina Hans pope watanyamaza kimya tu ndiyo maana wajinga wanawashika masharubu.
Kumbe wewe ni Shabiki wa Simba..... Ndo maana umeumia huyo Barbara kutomaswa tomaswa.....
 
shabiki ndakindaki kabisa
Mwanzo nilidhani una hoja, Baadaye ndo nikajua Unaumia Kwa sababu za Kishabiki....

Kwamba siku Barbara akiolewa then akaja kuachika, Unaweza kuumia vilevile.

Pooooole.
 
Back
Top Bottom