Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 644
- 718
CV yake pia kiutendaji ni nzuri.sijaingilia popote nimekumbusha uzi nilioweka tarehe 30 december mwaka jana nilwaambia simba wampe ulinzi huyu dada mambo yamebadilika sana huko maredioni kuna makanjanja yana chuki za waziwazi na simba
na huyu dada ana juhudi sana kuna kitu anataku kuki prove kuna watu hawapendi na ule mfumo dume ulio katika jamii na wengine kama kina kigogo 14 wenye chuki zao na Mo dewji mahasira yao yanamuangukia huyu dada
Na i wish her all the best, hopefully sasa ndugu MO na Simba SC kiujumla zitampa bodyguards huyu Madam CEO.
Uzuri wa Barbara Gonzalez kimuonekano ndiyo unaofanya watu wengi wamchukulie poa Kiutendaji, wengi inaonekana hawamuamini kama ataiweza kweli kazi yake ya kuiongoza SIMBA SC akiwa kama Mtendaji Mkuu (CEO)
Wengi tumeathiriwa na ile mentality kuwa tumeshazoea taasisi za mpira wa miguu zikiongozwa na wanaume. Hivyo Barbara Gonzalez kuwa CEO wa Simba SC wengi wanaona it's very weird!!