Niliwaonya Simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara mkapuuza, ameshambuliwa Z'bar

Niliwaonya Simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara mkapuuza, ameshambuliwa Z'bar

sijaingilia popote nimekumbusha uzi nilioweka tarehe 30 december mwaka jana nilwaambia simba wampe ulinzi huyu dada mambo yamebadilika sana huko maredioni kuna makanjanja yana chuki za waziwazi na simba
na huyu dada ana juhudi sana kuna kitu anataku kuki prove kuna watu hawapendi na ule mfumo dume ulio katika jamii na wengine kama kina kigogo 14 wenye chuki zao na Mo dewji mahasira yao yanamuangukia huyu dada
CV yake pia kiutendaji ni nzuri.
Na i wish her all the best, hopefully sasa ndugu MO na Simba SC kiujumla zitampa bodyguards huyu Madam CEO.

Uzuri wa Barbara Gonzalez kimuonekano ndiyo unaofanya watu wengi wamchukulie poa Kiutendaji, wengi inaonekana hawamuamini kama ataiweza kweli kazi yake ya kuiongoza SIMBA SC akiwa kama Mtendaji Mkuu (CEO)

Wengi tumeathiriwa na ile mentality kuwa tumeshazoea taasisi za mpira wa miguu zikiongozwa na wanaume. Hivyo Barbara Gonzalez kuwa CEO wa Simba SC wengi wanaona it's very weird!!
 
Unajua mabint wa kiislam wanaoswali hata kama ana makandokando ni ngumu kumkuta kichwa wazi sasa huyu ceo mara umkute anavuta shisha sasa najaribu kuhusianisha na kusali
spin doctors kazini ..basi sawa haina shida kumbe ni kosa lake kuna mwenzako hapo juu kasema alikuwa anamgombania Mo na mwanamke mwingine
HAYO NDIYO YANAYONIHUZUNISHA especially ukiyakuta kwenye forum kama jamii forum ambapo atleast tunaamini kuna watu reasonable
Narudia tena simba mpeni ulinzi huyu dada maana siku akibakwa watu kama wewe utasikia watasema agh alikuwa amevaa suruali badala ya hijab ikatamanisha sana wabakaji au agh mke wa Mo alichukia sana akatuma watu wakambake
 
Umenielewa vibaya mkuu
 
Natabiri kwamba muda siyo mrefu mmojawapo wa wale wachambuzi uchwara walio kwenye payroll ya kuitukana simba atamdhalilisha hewani live lakini kwa kuwa uongozi wa simba wa sasa unakosa watu kama kina Hans pope watanyamaza kimya tu ndiyo maana wajinga wanawashika masharubu.
kipigo cha paka mwizi tulichowatembezea jana kimesababisha mashabiki wa simba wamekuwa wehu.
 
kipigo cha paka mwizi tulichowatembezea jana kimesababisha mashabiki wa simba wamekuwa wehu.
mkuu katika watu ninaowaheshimu huku ndani na wewe upo,soma habari tukio limetokea juzi usiku kabla ya mechi baada ya simba kumaliza mazoezi yao,shambulizi hilo linahusianaje na penalties za jana?
 
mkuu katika watu ninaowaheshimu huku ndani na wewe upo,soma habari tukio limetokea juzi usiku kabla ya mechi baada ya simba kumaliza mazoezi yao,shambulizi hilo linahusianaje na penalties za jana?
mbona hukunena yote haya kabla ya kipigo cha paka mwizi???
 
mbona hukunena yote haya kabla ya kipigo cha paka mwizi???
mkuu umelewa either unafanya makusudi au una ufahamu mdogo, habari ya kushambuliwa imeripotiwa leo na mwanachi na mwanaspoti ,nimeunganisha tukio na huu uzi niliopost tarehe 30 dember last year Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC
nikiwaonya simba wampe ulinzi huyu dada na wewe ulikuwa mmojawapo ya watu walionizodoa sana ,niliyoyaonya yametokea sasa NASISITIZA TENA APEWE ULINZI KUNA SIKU ATABAKWA NA WATU KAMA WEWE MTASHANGILIA MKISAIDIWA NA MAKANJAJA YENU YA REDIONI YALIYOKO KWENYE PAYROLL

Ungeweka hapa uzi ulioonya kwa wale ambao hatukupata bahati ya kuusoma mkuu.
 
huo uzi niliuweka siku nyingi mno ,game ya jana kwangu niliona ni mieleka tu ,inaniumaje game kama ile sasa?
Bora wewe umepata hata namna ya kujifariji. Ilikuwa mieleka? Mikia ingeshinda,ungekuwa mpira?. Sindano zote ndio zinavyokolea namna hiyo
 
mkuu umelewa either unafanya makusudi au una ufahamu mdogo, habari ya kushambuliwa imeripotiwa leo na mwanachi na mwanaspoti ,nimeunganisha tukio na huu uzi niliopost tarehe 30 dember last year Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC
nikiwaonya simba wampe ulinzi huyu dada na wewe ulikuwa mmojawapo ya watu walionizodoa sana ,niliyoyaonya yametokea sasa NASISITIZA TENA APEWE ULINZI KUNA SIKU ATABAKWA NA WATU KAMA WEWE MTASHANGILIA MKISAIDIWA NA MAKANJAJA YENU YA REDIONI YALIYOKO KWENYE PAYROLL
sioni connection yoyote ya Babra kuitwa pisi na swala la yeye kusumbuliwa hapo Zenji.

By the way unazungumziaje kipigo cha paka mwizi tulichowatembezea jana??
 
nilijibishana na mtu kwenye hiyo post yangu ya tartehe 30
Screen Shot 2021-01-14 at 11.39.05 AM.png
 
Ukifungwa na mtani we jadi yabidi utumie busara sana, maana alili yako inachanganyikiwa na kusema vitu vya ajabu kabisa...
siwezi nikajibu kitu kimoja mara kumi kumi halafu mbona mnahusisha na kufungwa au walimshambuli ni utopolo?
 
Back
Top Bottom