So sad kwa kweli lol [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]labda Hans pope angekuwa kiongozi hapo simba ange deal nao maana he is a no nonsense man siyo kina kaduguda hao
Hanspope inabidi hata aundiwe ka cheo chochote unakumbuka kuna kipindi Rage alishawapiga stop redio one kutangaza habari yotote ya simba ?sasa kipindi kile alikuwa ni maulid kitenge tu anavuruga,leo ni maknjanja karibu yote na redio ziko nyingi ,huko wasafi fm kitenge ndo kubwa lao hata ushindi wa platnum ulimuuma sana,angekuwa rage yupo ange deal nao vizuri ila hawa kina kaduguda hata kumlinda CEO ni shidaSo sad kwa kweli lol [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
naskia alikuwa anamgombania mo na kimada mwingine...hiyo ndiyo hasa sababu nimeanzisha huu uzi na ule uzi wa tarehe 30..spin doctors watahalisha mengi sana kuna siku atakuja kubakwa halafu utasikia kwa nini alivaa suruali ya kubana au machakato wake wa kupata u ceo uliendajeendaje?kwanza nasikia alikuwa ame violate 'dress code' ya Zanzibar, yeye ni nani adi ajaribu Imani za watu? hivyo vi-min na vi body vyake avivalie uko uko alipotoka………...
Wewe utakuwa mtoto wa ka-h-abaHuyo Babra asituchoshe atakua kapigana na pisi nyingine ya Mo ambayo yupo Zanzibar.
hahah manyau-nyau fc mmepanic mnoo baada ya kupata kipigo cha paka mwizi.Wewe utakuwa mtoto wa ka-h-aba
Wewe kuwa mtoto wa ka-h-a-b-a haiusiani na ushindi wa utopolo!! Wewe una brain disorder, maana umeshuudia udhalilishaji aliokuwa anafanyiwa mzazi wa kike!!, Hivyo unaona ni haki mwanamke kudhslilishwa.hahah manyau-nyau fc mmepanic mnoo baada ya kupata kipigo cha paka mwizi.
manyau-nyau Fc hebu kuweni wavumilivu, kama pisi ya Mo imeshambuliwa aende polisi wahusika wakamatwe.Wewe kuwa mtoto wa ka-h-a-b-a haiusiani na ushindi wa utopolo!! Wewe una brain disorder, maana umeshuudia udhalilishaji aliokuwa anafanyiwa mzazi wa kike!!, Hivyo unaona ni haki mwanamke kudhslilishwa.
Huenda wamejifunza, wakati mwingine watachukua hatua.Hanspope inabidi hata aundiwe ka cheo chochote unakumbuka kuna kipindi Rage alishawapiga stop redio one kutangaza habari yotote ya simba ?sasa kipindi kile alikuwa ni maulid kitenge tu anavuruga,leo ni maknjanja karibu yote na redio ziko nyingi ,huko wasafi fm kitenge ndo kubwa lao hata ushindi wa platnum ulimuuma sana,angekuwa rage yupo ange deal nao vizuri ila hawa kina kaduguda hata kumlinda CEO ni shida
Chombo ya kanaliSubiri dhihaka zije ataitwa malaya muda si mrefu, ila nilionya nikaambiwa najipendekeza
Kwa jinsi chuki ilivyo kubwa kwa simba haswa kwa wachambuzi uchwara wa utopolo waliojaa maredioni tutasikia makubwa sana na ni mfumo dume tu unaosumbua vichwa vya watu.
Kumbe utopolo ni kama CCM ukiwa huko akili zinahama kabisaaaaaHuyo Babra asituchoshe atakua kapigana na pisi nyingine ya Mo ambayo yupo Zanzibar.
Hata Wasafi FM nao wakiongozwa na yule KijolaWachambuzi hasa wa EFM wamekaa kishubwada sana, wanaweza maliza dakika tatu wanajadili umbea tu wakiongozwa na kile kisada sijui kinaitwa Tunu, siku hizi siwasikilizi tena.
manyau-nyau fc mmepanic sana baada ya kupata kipigo cha paka mwizi(paka jike)Kumbe utopolo ni kama CCM ukiwa huko akili zinahama kabisaaaaa
Duuuuh hatari sana kwa kweli.Hanspope inabidi hata aundiwe ka cheo chochote unakumbuka kuna kipindi Rage alishawapiga stop redio one kutangaza habari yotote ya simba ?sasa kipindi kile alikuwa ni maulid kitenge tu anavuruga,leo ni maknjanja karibu yote na redio ziko nyingi ,huko wasafi fm kitenge ndo kubwa lao hata ushindi wa platnum ulimuuma sana,angekuwa rage yupo ange deal nao vizuri ila hawa kina kaduguda hata kumlinda CEO ni shida
Kumbe wewe ni Shabiki wa Simba..... Ndo maana umeumia huyo Barbara kutomaswa tomaswa.....Natabiri kwamba muda siyo mrefu mmojawapo wa wale wachambuzi uchwara walio kwenye payroll ya kuitukana simba atamdhalilisha hewani live lakini kwa kuwa uongozi wa simba wa sasa unakosa watu kama kina Hans pope watanyamaza kimya tu ndiyo maana wajinga wanawashika masharubu.
shabiki ndakindaki kabisaKumbe wewe ni Shabiki wa Simba..... Ndo maana umeumia huyo Barbara kutomaswa tomaswa.....
Mwanzo nilidhani una hoja, Baadaye ndo nikajua Unaumia Kwa sababu za Kishabiki....shabiki ndakindaki kabisa