GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hahahaa......yani magufuli ni mungu?
Umeandika upuuzi ndiyo maana unawekwa sawa.Umeuelewa Uzi lakini? Kuna mahala popote umeona nimeandika kuwa Magufuli ni Mungu? Kuna Watu huwa mnanitafuta Wenyewe ili tu Mnilaumu.
Huyo dogo hajui alichokiandika. Uwezo wake wa kung'amua mambo ni mdogo sana.Husilazimishe watu kuaminikuwa mwnyi ni chaguo la Mungu. Hata kama ni chaguo la Mungu, kwa kuchaguliwa kuliko fanyika hakuwa chaguo la Mungu bali chaguo la watanzana bara.
Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye GENTAMYCINE nadhani si tu kwamba anafaa kuwa Rais wa huko Kisiwani Zanzibar bali naona kabisa kuwa anafaa hata kuja kuwa Mrithi wa Rais Dkt. Magufuli mwaka 2025.
Nina uhakika hata akina Seif Shariff wa ACT na Dkt. Hamad Rashid wa ADC nao pia sasa wanajua kuwa Kazi Pevu tu wanayo hapo kwa Mwinyi.
Mkuu una akili kweli?
Umeandika upuuzi ndiyo maana unawekwa sawa.
Huyo dogo hajui alichokiandika. Uwezo wake wa kung'amua mambo ni mdogo sana.
Ujanitukana mimi ila ngoja nikuache.Nilizonazo tu pekee ni zilizoniwezesha Kumtongoza aliyekuzaa hadi akanikubalia.
Unajionaga bonge la janjaro.kumbe boya.matusi ili?Nilizonazo tu pekee ni zilizoniwezesha Kumtongoza aliyekuzaa hadi akanikubalia.
Kuandika ni kama kuongea tu hata ujifiche vipi utajulikana tu vipi ile Id yako nyingine nayo inapingana na hili
Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye GENTAMYCINE nadhani si tu kwamba anafaa kuwa Rais wa huko Kisiwani Zanzibar bali naona kabisa kuwa anafaa hata kuja kuwa Mrithi wa Rais Dkt. Magufuli mwaka 2025.
Nina uhakika hata akina Seif Shariff wa ACT na Dkt. Hamad Rashid wa ADC nao pia sasa wanajua kuwa Kazi Pevu tu wanayo hapo kwa Mwinyi.
Unajionaga bonge la janjaro.kumbe boya.matusi ili?