Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Umeuelewa Uzi lakini? Kuna mahala popote umeona nimeandika kuwa Magufuli ni Mungu? Kuna Watu huwa mnanitafuta Wenyewe ili tu Mnilaumu.
Naona hujaelewa swali au akili yako haiko sawa....!!! Bandiko lako umesema Hussein Mwinyi ni chaguo la Mungu.....Ngoja nikuweke sawa Kama utaelewa! Je, Mungu alikuwepo Dodoma kumchagua Hussein Mwinyi Kama mgombea wa Urahisi Zanzibar?
Ukweli ni kwamba Mwenyekiti Magufuli na jopo lake ndo wamemchagua Hussein Mwinyi kuwa Rahisi(siyo Rais) wa Zanzibar......Kama ulimsikia Magufuli vizuri alitamka hivi: TUTAKAYEMCHAGUA HAPA KATI YA MAJINA 3 NDIYE RAHISI WA ZANZIBAR!