Uchaguzi 2020 Niliwashangaa sana waliokuwa Wakimkataa na hadi Kumchukia Chaguo la Mungu na la Wazanzibari Dkt. Hussein Mwinyi

Kakojowe ukalaleee

Hatuna Kiswahili cha ' Kakojowe ' kama Mpumbavu ( Mpopoma ) Wewe ulivyoandika hapa bali tuna Kiswahili Sanifu kabisa cha ' Kakojoe ' sawa?
 
Husilazimishe watu kuamini kuwa mwnyi ni chaguo la Mungu. Hata kama ni chaguo la Mungu, kwa kuchaguliwa kuliko fanyika hakuwa chaguo la Mungu bali chaguo la watanzana bara.

Mwinyi ndo anaandaliwa kuja kuwa raisi wa bara baada ya miaka 10 Zanzibar.
Thus Mzee Ruksa anapalilia tu
 
Umeuelewa Uzi lakini? Kuna mahala popote umeona nimeandika kuwa Magufuli ni Mungu? Kuna Watu huwa mnanitafuta Wenyewe ili tu Mnilaumu.
Dr Mwinyi ni Chaguo la Jiwe
Heading yako inasema Dr Mwinyi ni Chaguo la Mungu.
Apply logic acha kuwa Popoma Mkuu
 
Zanzibar 2020 - Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?
Ingekuwa mwingine tungeambiwa "uroho wa madaraka... nk."
 
Kama Dkt Hussein Mwinyi ni chaguo la Mungu basi hakuna haja ya kupiga kura.
Kura za nini sasa ilhali alishachaguliwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…