Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Ngoja niende kwa [mention]UMUGHAKA [/mention] au [mention]Analyse [/mention] , bila shaka watakuwa washaweka za Kulalia
 
Asante baby doll kwa tag[emoji7]
Na kuna sehemu kuna story nzuri mpenzi ngoja nikuwekee link huyu Steve sijui kawaje siku hizi na online yupo





 
Asante ngoja nikasogeze muda uko
 
[emoji120][emoji120][emoji120]uishi sana, Steve anazingua
 
Siwezi fanya hivyo. Sipendagi Uzi unatrend sana, ukiingia unakuta sababu ya Uzi kutrend ni watu kulalamika. Unascroll page karibia 10 zote ni malalamiko tu.

Story yangu itaisha kwa wakati, na hakuna siku ambayo sitopost. Cha muhimu uzima tu 🀦
Sawa ukimaliza hiyo utusimulie nyingine story zako nzuri sana
Halaf leo tupostie mbili
 
Na soon yangu naimaliza. Ili story za kusoma zipungue, mbaki mnawabembeleza hawa wasimuliaji wenu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Aah sitaki tena. Unasubiri story unataman hata kulia πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…